Rais Samia ateua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:-
  1. Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

  2. Amemteua Bw. Juma Hassan Reli kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Uteuzi huu umeanza tarehe 12 Novemba, 2023.

Jaman naombeni Siri na Mimi niteuliwe na rais

Unatakiwa uwe na sifa gani??

Maana wenzetu wanaula tu wanatenguliwa wanarudishwa wanatolewa post A kwenda post B

Bongo ramani kama hunae ramani shida
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:-

1. Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

2. Amemteua Bw. Juma Hassan Reli kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Uteuzi huu umeanza tarehe 12 Novemba, 2023.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Pia soma: Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi pamoja na kuvunja Bodi ya TCRA
 
naona kasawazisha Goli! maana mlengo ulikuwa wa upande.mmoja

Noma sana kujaza watu wooote wa dini moja kwenye nchi ambayo wateuzi wanahitaji umakini wa ukabila na udini! tuache uchawa
 
Jaman naombeni Siri na Mimi niteuliwe na rais

Unatakiwa uwe na sifa gani??

Maana wenzetu wanaula tu wanatenguliwa wanarudishwa wanatolewa post A kwenda post B

Bongo ramani kama hunae ramani shida
Umepata mafunzo Mbweni?
 
Utateuliwa kuwa mwenyekiti bodi ya balimi ndg usijal
Jaman naombeni Siri na Mimi niteuliwe na rais

Unatakiwa uwe na sifa gani??

Maana wenzetu wanaula tu wanatenguliwa wanarudishwa wanatolewa post A kwenda post B

Bongo ramani kama hunae ramani shida
 
Ni taasisi ya muungano :

Dr Jones A Killimbe, (PhD in Telecommunications Engineering) mwenyekiti wa zamani wa bodi ya TCRA Tanzania Communications Regulatory Authority.

Bw. Juma Hassan Reli amewahi kuwa : Katibu mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Zanzibar, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.
Juma Hassan Reli : University of Birmingham Masters in Business Administration (MBA) Accounting and Finance
 
Jaman naombeni Siri na Mimi niteuliwe na rais

Unatakiwa uwe na sifa gani??

Maana wenzetu wanaula tu wanatenguliwa wanarudishwa wanatolewa post A kwenda post B

Bongo ramani kama hunae ramani shida
Bila Network sahau cheo Serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…