Rais Samia ateua na Kutengua Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo:

i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.

Bw. Frank anachukua nafasi ya Bi. Angela Kemanzi Anatory ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

ii) Amemteua Bi. Irene Joseph Lesulie kuwa Naibu Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bi. Lesulie alikuwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mashauri ya Kimataifa, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.

Bi. Irene anachukua nafasi ya Bi. Lina Robert Sanga ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Uteuzi huu umeanza tarehe 08 Juni, 2023.

FyVhOB-WcAA-KOe.jpeg
 
Kwenye vyeti vya kuzaliwa sasa kutakuwa na jina la Kanyusi. Dada Anatory kakosea nini?Au kawapa vyeti vya kuzaliwa wakimbizi?
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua
Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu ambaye hapo awali alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara

Pia amemteua Irene Joseph Lesulie kuwa Naibu Kabidhi Wasii Mkuu, ambaye hapo awali alikuwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya
Mashauri ya Kimataifa, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Wateule wapya wanachukua nafasi za Angela Kemanzi Anatory na Lina Robert Sanga (mtawalia) ambao teuzi zao zimitenguliwa

IMG_5125.jpg
 
Hapa ndipo mwisho wa uwezo wetu kama serikali. Usimamizi wa mambo ya msingi ikiwemo bandari, wakabidhiwe Wadudubai tu.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo:

i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Bw. Frank anachukua nafasi ya Bi. Angela Kemanzi Anatory ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

ii) Amemteua Bi. Irene Joseph Lesulie kuwa Naibu Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bi. Lesulie alikuwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mashauri ya Kimataifa, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.

Bi. Irene anachukua nafasi ya Bi. Lina Robert Sanga ambaye uteuzi wake

View attachment 2653875umetenguliwa.

Uteuzi huu umeanza tarehe 08 Juni, 2023.
Hizi teuzi zina faida gani? Ujinga tu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo:

i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.

Bw. Frank anachukua nafasi ya Bi. Angela Kemanzi Anatory ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

ii) Amemteua Bi. Irene Joseph Lesulie kuwa Naibu Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bi. Lesulie alikuwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mashauri ya Kimataifa, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.

Bi. Irene anachukua nafasi ya Bi. Lina Robert Sanga ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Uteuzi huu umeanza tarehe 08 Juni, 2023.

View attachment 2653875
scrap
 
Nawa~Zoom Tu Hapa Halafu Nasema Hii Bhaghosha Sana
By Jiwe
 
Kwenye vyeti vya kuzaliwa sasa kutakuwa na jina la Kanyusi. Dada Anatory kakosea nini?Au kawapa vyeti vya kuzaliwa wakimbizi?
Angela na Lina walikuwa wanaugomvi mkubwa sana pale RITA mpaka pakatokea makundi baina ya watumishi ndo ikaundwa tume ya kuchunguza sasa matokeo yake ndo haya wametumbuliwa wote
 
Asitutoe kwenye mstari
Bandari zetu
Tanganyika yetu ni sasa
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo:

i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.

Bw. Frank anachukua nafasi ya Bi. Angela Kemanzi Anatory ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

ii) Amemteua Bi. Irene Joseph Lesulie kuwa Naibu Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bi. Lesulie alikuwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mashauri ya Kimataifa, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.

Bi. Irene anachukua nafasi ya Bi. Lina Robert Sanga ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Uteuzi huu umeanza tarehe 08 Juni, 2023.

View attachment 2653875
Sanga washaanza kuzhughulikiwa
 
Najuzwa leo wallkuwa kwenye kikao cha ofisi/KIKOBA kupanga mtoko wa kwenda Zanzibar, dah, basi tena akaanzishe ofisi ya uwakili.
Watabadilishiwa majukumu na kupangiwa katika taasis nyingine, maugomvi yao ndo yamewafikisha hapo
 
Back
Top Bottom