Rais Samia ateua viongozi mbalimbali wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Bodi ya Mikopo (HESLB ) na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

Rais Samia ateua viongozi mbalimbali wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Bodi ya Mikopo (HESLB ) na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
IMG_20211227_155907.jpg
 
Haya mambo ya teua teua haya yanawapa watawala wa Tanzania Uungu na wamejifanya maskio yao yamekufa hayaskii dawa ili furaha ya Uungu izidi!!

Katiba mpya ndyo mwarobaini wa yote ila Kama hawaijui vile
 
Aliyemteuwa kuwa m/mwenyekitij alkuwa mjumbe wa tume hiyo hiyo ambaye walifanya uchafuzi na jaji mahela. Tusitegemee mabadiliko yoyote yale. Inasikitisha sana yahani baada ya malalamiko yote hayo ameshindwa kuteuwa mtu kutoka nje ya tume inayolalamikiwa
Hapana, Huyu ni mpya. Ameteuliwa kuingia kwenye tume mwaka huu na rais Samia baada ya kifo cha JPM. Kwenye tume ana miezi kama mitatu au minne.
 
Hapana, Huyu ni mpya. Ameteuliwa kuingia kwenye tume mwaka huu na rais Samia baada ya kifo cha JPM. Kwenye tume ana miezi kama mitatu au minne.
Ok kama ni hivyo anaweza kuwa na uwafadhali kidogo. Ilk tuwe na imani naye inabidi aifumue tume yote na kuipanga upaya kwa matakwa ya vyama vyote
 
Back
Top Bottom