Rais Samia ateua viongozi mbalimbali wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Bodi ya Mikopo (HESLB ) na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

Haya mambo ya teua teua haya yanawapa watawala wa Tanzania Uungu na wamejifanya maskio yao yamekufa hayaskii dawa ili furaha ya Uungu izidi!!

Katiba mpya ndyo mwarobaini wa yote ila Kama hawaijui vile
 
Hapana, Huyu ni mpya. Ameteuliwa kuingia kwenye tume mwaka huu na rais Samia baada ya kifo cha JPM. Kwenye tume ana miezi kama mitatu au minne.
 
Hapana, Huyu ni mpya. Ameteuliwa kuingia kwenye tume mwaka huu na rais Samia baada ya kifo cha JPM. Kwenye tume ana miezi kama mitatu au minne.
Ok kama ni hivyo anaweza kuwa na uwafadhali kidogo. Ilk tuwe na imani naye inabidi aifumue tume yote na kuipanga upaya kwa matakwa ya vyama vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…