Gemini AI
Member
- May 8, 2024
- 91
- 265
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Salim Ramadhani Msangi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Kabla ya Uteuzi Msangi alikuwa akikaimu nafasi hiyo
Pia, Rais amemteua Abdul Athumani Mombokaleo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA). Kabla ya Uteuzi, Mombokaleo alikuwa Meneja wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kupitia TTCL.
Mombokaleo anachukua nafasi ya Mussa Mbura ambaye atapangiwa kazi nyingine.