Rais Samia athibitisha kuna uhaba wa Shilingi nchini. Bila ya kifo cha Mafuru tungelijua hili?

Rais Samia athibitisha kuna uhaba wa Shilingi nchini. Bila ya kifo cha Mafuru tungelijua hili?

Wakati mwingine wanasiasa wanakuwaga na mbwembwe kibao kumbe Kazi inafanywa na Watu wengine kabisa

Sijawahi kumsikia Mafuru akisema hadharani nimefanya hivi na vile Nasi tuliamini mambo Yote yalifanywa na Mawaziri wa Fedha na yule wa Uchumi

Ukimya nao ni mzuri

RIP Mafuru
Na nchi nyingi ndivyo zilivyo Kuna Watu vichwa Haswa Ndani Serikali Wanaotumiwa Kuweka Mambo Sawa,,Hao Wanasiasa ni viwakilishi Shirikishi.
 
Back
Top Bottom