Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
CHAWA Karlo Mwilapa ana CPA🤣😃😃😀😃Sasa sijui tutawapata wapi wengine kama mafuru!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHAWA Karlo Mwilapa ana CPA🤣😃😃😀😃Sasa sijui tutawapata wapi wengine kama mafuru!
True say hili Taifa lina vichwa shida ni moja mfumo haupendi vichwa ila ndio mzee ref to Prof Assad no comment ni genius ila check kilicho mkuta siasa ina nguvu kuliko wasomiNi kweli kabisa, wapo wengi mno ila hawapati nafasi, wanao pata nafasi ni wale wale wanao pokezana na ndio maana hatupigi hatua kama taifa maana mawazo ni yale yale fikra na mitazamo ni ile ile kutoka kwa wetu wale wale
Siyo Kila mara, Mafuru was brilliant...Mbona wengine akifa wanasema vibaya? Acha apewe maua yake!Africa kufa usifiwe ishi ulaumiwe
Tumepigwa na kitu kizito mno!Kazi ipo, kumbe mtu anaweza kujivua uraisi for minutes na katiba inaruhusu!
Marehemu alisimama kwa unyenyekevu mkubwa mno akasema... Mheshimiwa Mimi si rais na urais uko mbali nami....Hahaha Huo Urais ange nisusia mimi kwa wiki moja tu ingetosha, unamsusia tajiri chai?
Hahaha hapana hukumuelewa, alikuwa anaongea MAZURI aliyoyafanya marehemu kipindi alipokuwa hai. Usimseme SSH maana UWT na UVCC wata toa tammko la kukulaani.Marehemu alisimama kwa unyenyekevu mkubwa mno akasema... Mheshimiwa Mimi si rais na urais uko mbali nami....
Jiwe gizani!Ukimya nao ni mzuri
Sawa wanazo GPA za 4, lakini je wanaweza kuzitetea hizo GPA???Nikuletee vijana 100 wenye GPA 4 ambao wanatafuta kazi??
Unamsema daktari wa uchumi.Wakati mwingine wanasiasa wanakuwaga na mbwembwe kibao kumbe Kazi inafanywa na Watu wengine kabisa
Sijawahi kumsikia Mafuru akisema hadharani nimefanya hivi na vile Nasi tuliamini mambo Yote yalifanywa na Mawaziri wa Fedha na yule wa Uchumi
Ukimya nao ni mzuri
RIP Mafuru
Wenye uwezo ulele wa kufikiri, wametengeneza tatizo la uhaba wa sarafu, kwa kuruhusu biashara ya kamali inayo tumia sarafu nyingi sana ambayo serikali inapata pesa nyingi sanaNi kweli kabisa, wapo wengi mno ila hawapati nafasi, wanao pata nafasi ni wale wale wanao pokezana na ndio maana hatupigi hatua kama taifa maana mawazo ni yale yale fikra na mitazamo ni ile ile kutoka kwa wetu wale wale
Hii ndiyo legacy tunayojivunia maisha ya Mafuru.Wakuu,
Kumbe nchi ina uhaba wa sarafu za Shilingi na hatuambiwi?
Siku ya Leo akiwa msibani kwa Lawrence Mafuru Rais Samia alikumbushia amekumbushia kipindi ambacho kulikuwa na uhaba wa Shilingi na Mafuru alivyohusika katika kusaidia taifa kupita katika kipindi hiko.
"Badala ya kulalamika Nchi haina dola nimesikia juzi Wazalishaji wanalalmika Nchi haina shilingi, sasa mpango wa kurudisha shilingi
Ndugu yetu ameondoka nitawatumia waliokuwepo, la pili tulikumbwa na changamoto ya miradi katika sekta ya ujenzi na nikaita mkutano pale Zanzibar katika kikao kile tulijadili mengi mwisho nikawaambia katika hali kama hii tuliyofika kati yenu mmoja angekuwa Rais mngeamuaje na nikasema leo najivua Urais sasa hivi nampa Mafuru
Mafuru nyanyuka wewe sasa ndio Rais kwenye hali kama hii ungefanyaje?"
Rais Samia aliendelea kwa kusema:
"Alisimama kwa unyeyekevu mkubwa akaniambia Mheshimiwa Mimi si Rais na Urais uko mbali nami lakini katika hali kama hii akatoa mchango wake ambazo hakika ulitutoa pal tulipo tukaweza kusonga mbele"
View attachment 3152488
GPA haifanyi kazi bali ni utashi wa mtu binafsi tu. Huyo Mchechu mwenyewe akiwa UDSM ame graduate na karai (C)Nikuletee vijana 100 wenye GPA 4 ambao wanatafuta kazi??
Kazi ipo, kumbe mtu anaweza kujivua uraisi for minutes na katiba inaruhusu!
Iko vile bandugu ! 🙄Wakati mwingine wanasiasa wanakuwaga na mbwembwe kibao kumbe Kazi inafanywa na Watu wengine kabisa
Sijawahi kumsikia Mafuru akisema hadharani nimefanya hivi na vile Nasi tuliamini mambo Yote yalifanywa na Mawaziri wa Fedha na yule wa Uchumi
Ukimya nao ni mzuri
RIP Mafuru
Hata wapiga kilauri huwa wanawasaidia sana namna ya kuikwamua Nchi kutoka kwenye mikwamo lakini baadaye wanakuja kuwanyanyasa kwamba eti huyo ni mlevi tu !Maana yake alikuwa ameishiwa mawazo hivyo alihitaji akili za watu wengine kumvusha, jambo la kawaida...
Hapo ilikuwa ni maigizo. Yaani, yeye kama sio Rais na mwingine ndie Rais.Kazi ipo, kumbe mtu anaweza kujivua uraisi for minutes na katiba inaruhusu!