Rais Samia athibitisha kuna uhaba wa Shilingi nchini. Bila ya kifo cha Mafuru tungelijua hili?

Rais Samia athibitisha kuna uhaba wa Shilingi nchini. Bila ya kifo cha Mafuru tungelijua hili?

Ni kweli kabisa, wapo wengi mno ila hawapati nafasi, wanao pata nafasi ni wale wale wanao pokezana na ndio maana hatupigi hatua kama taifa maana mawazo ni yale yale fikra na mitazamo ni ile ile kutoka kwa wetu wale wale
True say hili Taifa lina vichwa shida ni moja mfumo haupendi vichwa ila ndio mzee ref to Prof Assad no comment ni genius ila check kilicho mkuta siasa ina nguvu kuliko wasomi
 
With due respect kwa Mh Rais!......Mafuru alikuwa wa kawaida sana...ndio maana hata elimu yake imekaa kiujanja janja sana...naomba niishie hapo...
Pia ieleweke simuonei wivu mwendazake lakini wakati mwingine tuseme ukweli ili kusaidia kizazi kijacho....
Watu wawekeze kwenye Elimu bora..wasiogope gharama..hutajutia
 
Wakati mwingine wanasiasa wanakuwaga na mbwembwe kibao kumbe Kazi inafanywa na Watu wengine kabisa

Sijawahi kumsikia Mafuru akisema hadharani nimefanya hivi na vile Nasi tuliamini mambo Yote yalifanywa na Mawaziri wa Fedha na yule wa Uchumi

Ukimya nao ni mzuri

RIP Mafuru
Unamsema daktari wa uchumi.
Au mbobezi wa uchumi-raisi wa singida
 
Ni kweli kabisa, wapo wengi mno ila hawapati nafasi, wanao pata nafasi ni wale wale wanao pokezana na ndio maana hatupigi hatua kama taifa maana mawazo ni yale yale fikra na mitazamo ni ile ile kutoka kwa wetu wale wale
Wenye uwezo ulele wa kufikiri, wametengeneza tatizo la uhaba wa sarafu, kwa kuruhusu biashara ya kamali inayo tumia sarafu nyingi sana ambayo serikali inapata pesa nyingi sana

Akili hizo hizo zitatengeneza sarafu mpya ili kuzirudisha hizo sarafu benki lakini siyo kwenye mzunguko kwa kufikiri hizo sarafu mpya zitarudi kwenye madubwi, kumbe wachina watazihifadhi wanakotaka wao na siyo zote kwenye madubwi
 
Wakuu,

Kumbe nchi ina uhaba wa sarafu za Shilingi na hatuambiwi?

Siku ya Leo akiwa msibani kwa Lawrence Mafuru Rais Samia alikumbushia amekumbushia kipindi ambacho kulikuwa na uhaba wa Shilingi na Mafuru alivyohusika katika kusaidia taifa kupita katika kipindi hiko.

"Badala ya kulalamika Nchi haina dola nimesikia juzi Wazalishaji wanalalmika Nchi haina shilingi, sasa mpango wa kurudisha shilingi

Ndugu yetu ameondoka nitawatumia waliokuwepo, la pili tulikumbwa na changamoto ya miradi katika sekta ya ujenzi na nikaita mkutano pale Zanzibar katika kikao kile tulijadili mengi mwisho nikawaambia katika hali kama hii tuliyofika kati yenu mmoja angekuwa Rais mngeamuaje na nikasema leo najivua Urais sasa hivi nampa Mafuru

Mafuru nyanyuka wewe sasa ndio Rais kwenye hali kama hii ungefanyaje?"


Rais Samia aliendelea kwa kusema:

"Alisimama kwa unyeyekevu mkubwa akaniambia Mheshimiwa Mimi si Rais na Urais uko mbali nami lakini katika hali kama hii akatoa mchango wake ambazo hakika ulitutoa pal tulipo tukaweza kusonga mbele"

View attachment 3152488
Hii ndiyo legacy tunayojivunia maisha ya Mafuru.

Tumshukuru Mungu sana kwa kutupatia mtu huyu.

Mambo ya kasri na miradi yake binafsi kama mwanafamilia ni issues za kifamilia na wala haviakisi utajiri na umaskini wetu.

Legacy inaishi
Mali hutapanywa
 
Wakati mwingine wanasiasa wanakuwaga na mbwembwe kibao kumbe Kazi inafanywa na Watu wengine kabisa

Sijawahi kumsikia Mafuru akisema hadharani nimefanya hivi na vile Nasi tuliamini mambo Yote yalifanywa na Mawaziri wa Fedha na yule wa Uchumi

Ukimya nao ni mzuri

RIP Mafuru
Iko vile bandugu ! 🙄
 
Maana yake alikuwa ameishiwa mawazo hivyo alihitaji akili za watu wengine kumvusha, jambo la kawaida...
Hata wapiga kilauri huwa wanawasaidia sana namna ya kuikwamua Nchi kutoka kwenye mikwamo lakini baadaye wanakuja kuwanyanyasa kwamba eti huyo ni mlevi tu !
Mungu atakuwa ameshawaona na kuwaonyesha !!
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!
😳🙄👍🙏🙏
 
Back
Top Bottom