10 April 2024
MH. RAIS DR. SAMIA S. HASSAN MGENI RASMI BARAZA LA IDD 2024
RAIS SAMIA ATOA POLE MAFURIKO ya RUFIJI na MORO - ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA BAKWATA na SERIKALI
View: https://m.youtube.com/watch?v=6UqmPgp6mtY
Serikali ipo pamoja na wananchi wa Rufiji na maeneo ya mkoa wa Morogoro asema wakati akihutubia Baraza la Eid El Fitr.
Rais ashukuru duuwa ya waumini wote tangu aingie madarakani miaka 3 ....
Rais Samia Hassan aitaka BAKWATA kuziboresha shule zake kwa ....
Mh. Samia Hassan asisitiza umuhimu wa kodi kukusanywa na kitu kizuri ni kuwa wanazuoni wa kidini wanakubali ni halali serikali kukusanya kodi ya kichwa, kodi ya ardhi .....
Pia amani na utulivu kuelekea chaguzi za 2024 / 2025 ...
Na ndiyo maana leo imebidi nitumie baraza hili la Eid ni zungumzie masuala haya muhimu yenye mguso kutoa ujumbe wa nukta (pointi) hizo muhimu nilizosema awali juu atabainisha mheshimiwa rais Dr. Samia Hassan ...