Hayo maneno yamesemwa toka awamu ya pili, nini kimefanyika, ?kuwa na rasilimali na kuzitumia ni vitu viwili tofauti, bora hata huyu anayekubali waziwazi kuwa misaada inahitajika baada ya kujua ukweli kuwa uwezo wa kutumia hizi zetu pekee hana, Awamu ya tano licha ya kuwaaminisha watu kuwa hataki misaada na kila kitu anachofanya ni pesa za ndani nini kilitokea?si ndio taifa lilifikia hali hii, kila sehemu ni zaidi ya tabu tu, si afadhari hata huyu amekubaliana na WHO, angalau sasa anapata hata hizo pesa za COVID 19, zinasaidia kwenye mambo mengine.Shame! Nchi yenye madini kuanzia Uranium hadi tanzanite, gas, helium, almas, mbuga za wanyama! Tanzania yetu ni tajir sana ila inaongozwa na wajinga kuliko hata hayati Chifu Mangungo!
Tanzania sio kisiwa lazima tuangalie namna bora ya kuishi na mataifa mengine hapa ulimwenguni, kongole kwake Mama SamiaRais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo
Ameeleza hayo Septemba 24, 2021 katika Mahojiano Maalum na Habari za UN huko New York Nchini Marekani alipohojiwa Anold Kayanda na kuulizwa kuhusu wito anaoweza kutoa kwa Umoja wa Mataifa
Rais Samia amesema, "Tukiweza kuyapatia yote hayo Uchumi utakua na Tanzania tutaweza kujenga jina letu"