Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

Leo siku ya Nyerere day katika kumdurusu Mwalimu Nyerere kuna maswali najiuliza Kumuenzi Baba wa Taifa:CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla, Je Tunamuenzi Baba wa Taifa kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo?, Tunamuishi?.
Nawatakia maadhimisho mema na mapumziko mema ya Nyerere Day.
P
 

Acha roho mbaya,,uwanja wa ndege una umuhimu wake pia mkoa mara licha ya kuwa na hifadhi km serengeti,,,hakuna cha kujivunia,,mama kaweka pesa japo kiduchu kuboresha uwanja,,unatoa nyongo “”mama tunaomba tufungulie bandari ya musoma iliotuunganisha na watu wa Uganda na kenya
 
Umeambiwa kumuenzi JK kwani JK amezaliwa mikoa ya nyanda za juu. KENGE WEWE.

Uwanja wa Songe upo mbeya bado mtu anasema nyanda za juu kusini,hakika kweli kenge ni kenge tu ,,tuite kenge za nyanda za juu kusini ,,nakubalia na wewe
 
Hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kazi nzuri unayoifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…