Acha tuone nishati hili jinamizi la Tanesco doto anaenda kulimaliza namna gani!!
Kwa kweli Tanesco wanakeraaa, wamekosa creativity kabisa,
Wameshindwa kutenga maeneo ya Umeme wa upepo, solar, gasi,
Wafanye mpango wa kutengeneza hata kinu cha nuclear, sijui wamelogwa!!
Doto nyoosha hizi binadamu kama hazitaki kwenda na wakati zikachunge mbuzi siyo kutesa watu,