Watanzania tunaunga mkono safari za Mheshimiwa Rais kwa kuwa zimekuwa na tija kubwa sana na zenye matokeo chanya.tumeona namna ambavyo zmsafari zetu zimeleta fursa mbalimbali za masoko ya mazao yetu kama vile mbaazi na korosho kupata soko kule india kwa bei nzuri,kupata masoko ya maparachichi.tuneona namna idadi ya watalii ilinyoongezeka hasa baada ya Royal tour filamu na kuionyesha huko Duniani kwa makampuni mbalimbali ya kitalii na watalii jambo lililopelekea kufikisha watalii million 1.8 kwa mwaka .kuongeza idadi ya wawekezaji na uwekezaji,kusamehewa baadhiya madeni kama ilivyotokea kwa China kukusamehe Billion 31 na mengine mengi sana manufaa yaliyopatikana kutokana na ziara za Mheshimiwa Rais kama ilivyotokea majuzi kupata mkopo wa masharti nafuu wa Dolla Billion 2.5 utakaolipwa kwa miaka 40 kwa riba ya 0.01%.
Watanzania Hatupo tayari kuona Rais wetu akijifungia hapa ndani ya Nchi.Tanzania siyo kisiwa .acha Rais wetu achape kazi .
wewe ndio jifungie ndani mwako na familia yako humo humo kama mgonjwa