Rais Samia atua Chuo cha Taifa cha Ulinzi na kutoa Mhadhara juu ya Falsafa yake ya 4R katika kuongoza serikali yake

Nakumbuka baada ya kumaliza form 4 miaka ile niliwahi kwenda hapo kuulizia nafasi za kusoma, ..

😁😁
 
Kuhusu ulinzi na usalama na ustawi wa biashara na Madai ya wafanyabishara waliofunga biashara zao kasemaje mleta mada Mwashambwa tupe mrejesho wewe uliyemsikiliza na uliyekuwa na muda wa kumsikikiliza
 
Amegusia hata kidogo mambo ya mpina na bashe, Je? Yeye yuko upande upi kati bashe na mpina? Vipi amegusia pia na inshu za wafanyabiashara kufunga biashara zako, Je hiyo 4R inapunguzaje madeni ya nchi?
Hayo kawaachia msoga and co wamalizane
 
Kuhusu ulinzi na usalama na ustawi wa biashara na Madai ya wafanyabishara waliofunga biashara zao kasemaje mleta mada Mwashambwa tupe mrejesho wewe uliyemsikiliza na uliyekuwa na muda wa kumsikikiliza
Viongozi wote wa wafanyabiashara wamefanya mazungumzo mazuri na yenye afya na yenye matunda na Mheshimiwa Waziri Mkuu pale jijini Dodoma.
 
Mleta mada watu Sasa hizi tumejikita kwenye biashara kufungwa na issue za Kenya wewe inatuletea vitu non issue Kwa muda uliopo ambavyo ni kaa la moto

Unaleta mada irrelevant Kwa Wakati uliopo Mjinga wewe
 
Mbona maduka hayajafunguliwa na yanaendekea tu kufungwa mikoa mbalimbali non-stop
 
Mleta mada watu Sasa hizi tumejikita kwenye biashara kufungwa na issue za Kenya wewe inatuletea vitu non issue Kwa muda uliopo ambavyo ni kaa la moto

Unaleta mada irrelevant Kwa Wakati uliopo Mjinga wewe
Nenda kenya ukaungane na wakenya wenzako.sisi Watanzania tunamsikiliza Rais wetu mpendwa na tuna imani na matumaini makubwa sana na uongozi wake pamoja na serikali yake.ndio sababu ya kuwa wasikivu na kumwamini pamoja kuendelea kumuunga mkono
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi,Rais anayeheshimika na kupendwa na watanzania kwa kiwango cha juu utafikiri pesa,hii leo ametua na kuingia ndani ya chuo cha Taifa cha Ulinzi na kupata mapokezi mazito kwelikweli na ya heshima ya hali ya juu sana.

Ambapo akiwa chuoni hapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa ameweza kutoa Mhadhara Mzito sana wa uzani wa juu na kidunia juu ya Falsafa yake ya 4R katika kuongoza serikali yake.ikumbukwe falsafa hiyo ndio imeshuhudia na kuwawezesha wapinzani na vyama vyote vya siasa kupanda majukwaani na kufanya siasa.

Ni kupitia falsafa hiyo imewezesha wapinzani waliokuwa wamekimbia nchi na kuishi uhamishoni kuweza kurejea Nchini kifua mbele na kuishi nchini mwao bila hofu wala wasiwasi,ni kupitia falsafa hizo tumeshuhudia umoja wa kitaifa ukiimarika na kuwa na nguvu kuliko wakati wowote ule.

Ni kupitia falsafa hiyo leo hii hakuna Mwanasiasa ambaye yupo gerezani kwa kesi ya kisiasa, wala kufungwa pingu kwa maonezi na kusafirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, wala mtu kulala na wasiwasi ya kugongewa na kuvunjiwa mlango na hatimaye kukamatwa usiku wa manane kama Jambazi sugu la mauaji.

Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia vyama vya siasa hapa nchini vikikaa kwa pamoja katika meza moja ya mazungumzo kunywa maji na kula chakula kwa pamoja na kuzungumza masuala mbalimbali juu ya mstakabali wa Taifa letu na mwisho kupeana mikono kwa amani na upendo.

Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia umoja, mshikamano,upendo na udugu ukiongezeaka na kuimarika sana miongoni mwa Watanzania pamoja na kuongezeka kwa moyo wa uzalendo kwa Taifa letu na kupendana sisi kwa sisi bila kujali itikadi zetu za kisiasa.ndio sababu kazi zinaendelea vyema, maendeleo yanapatikana kila Secta,uchumi wetu unakua kwa kasi,watalii wanaendelea kumiminika nchini kufikia millioni 1.8,mapato yanaendelea kuongezeka,biashara zinaendelea kuongezeka.

Ni kupitia falsafa hiyo tunaona Amani na utulivu vinaendelea kutamalaki na kushamiri hapa nchini.hiyo yote ni kazi ya Mikono ya Jemedari wetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika,mama wa shoka,chuma cha Reli kiongozi imara na hodari katika uongozi.hii yote ni akili ,upeo na maarifa makubwa ya kiuongozi aliyo nayo Rais wetu kipenzi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3026792View attachment 3026793
Mwashambwa AKA mke wa bashite mwambieni mama kizimkazi ya Kenya hayako mbali aendelee kujizima Data hivyo hivyo
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha kumuona mama
Falsafa gani haina lengo la kuendeleza kiuchumi tabaka la wavuja jasho ambao ndio raia waliyo wengi. Hiyo ni falsafa yake binafsi sio ya CCM. Inawapa shaka wanaccm asilia. Anachofanya ni kukoroga msimamao na falsafa rasmi ya ccm. Huwezi kua na upatano na kila tabaka wakati kuna tabaka lenye kutaka wao kushika dola kwa manufaa yao wenyewe. Wapo tabaka lenye mshikamano na ubepari na ubeberu wa kimataifa. Malengo ya makundi kama hayo ni hatari kwa uhuru wa taifa yakishika na kuongoza dola.
 
Falsafa gani haina lengo la kuendeleza kiuchumi tabaka la wavuja jasho ambao ndio raia waliyo wengi. Hiyo ni falsafa yake binafsi sio ya CCM. Inawapa shaka wanaccm asilia. Anachofanya ni kukoroga msimamao na falsafa rasmi ya ccm. Huwezi kua na upatano na kila tabaka wakati kuna tabaka lenye kutaka wao kushika dola kwa manufaa yao wenyewe. Wapo tabaka lenye mshikamano na ubepari na ubeberu wa kimataifa. Malengo ya makundi kama hayo ni hatari kwa uhuru wa taifa yakishika na kuongozadola.
Blaza mie nabubujikwa machozi mengine sijui.........
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi,Rais anayeheshimika na kupendwa na watanzania kwa kiwango cha juu utafikiri pesa,hii leo ametua na kuingia ndani ya chuo cha Taifa cha Ulinzi na kupata mapokezi mazito kwelikweli na ya heshima ya hali ya juu sana.

Ambapo akiwa chuoni hapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa ameweza kutoa Mhadhara Mzito sana wa uzani wa juu na kidunia juu ya Falsafa yake ya 4R katika kuongoza serikali yake.ikumbukwe falsafa hiyo ndio imeshuhudia na kuwawezesha wapinzani na vyama vyote vya siasa kupanda majukwaani na kufanya siasa.

Ni kupitia falsafa hiyo imewezesha wapinzani waliokuwa wamekimbia nchi na kuishi uhamishoni kuweza kurejea Nchini kifua mbele na kuishi nchini mwao bila hofu wala wasiwasi,ni kupitia falsafa hizo tumeshuhudia umoja wa kitaifa ukiimarika na kuwa na nguvu kuliko wakati wowote ule.

Ni kupitia falsafa hiyo leo hii hakuna Mwanasiasa ambaye yupo gerezani kwa kesi ya kisiasa, wala kufungwa pingu kwa maonezi na kusafirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, wala mtu kulala na wasiwasi ya kugongewa na kuvunjiwa mlango na hatimaye kukamatwa usiku wa manane kama Jambazi sugu la mauaji.

Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia vyama vya siasa hapa nchini vikikaa kwa pamoja katika meza moja ya mazungumzo kunywa maji na kula chakula kwa pamoja na kuzungumza masuala mbalimbali juu ya mstakabali wa Taifa letu na mwisho kupeana mikono kwa amani na upendo.

Ni kupitia falsafa hiyo tumeshuhudia umoja, mshikamano,upendo na udugu ukiongezeaka na kuimarika sana miongoni mwa Watanzania pamoja na kuongezeka kwa moyo wa uzalendo kwa Taifa letu na kupendana sisi kwa sisi bila kujali itikadi zetu za kisiasa.ndio sababu kazi zinaendelea vyema, maendeleo yanapatikana kila Secta,uchumi wetu unakua kwa kasi,watalii wanaendelea kumiminika nchini kufikia millioni 1.8,mapato yanaendelea kuongezeka,biashara zinaendelea kuongezeka.

Ni kupitia falsafa hiyo tunaona Amani na utulivu vinaendelea kutamalaki na kushamiri hapa nchini.hiyo yote ni kazi ya Mikono ya Jemedari wetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika,mama wa shoka,chuma cha Reli kiongozi imara na hodari katika uongozi.hii yote ni akili ,upeo na maarifa makubwa ya kiuongozi aliyo nayo Rais wetu kipenzi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3026792View attachment 3026793
Resilience ambayo watu wakikosoa wanaonekana sio wazalendo? Reform ya ile tume yauchaguzi isiyofuata maoni ya wananchi?Reconciliation ipi iliyofanyika?
 
Hivi yupo? Ama kweli Tumemchoka
 
Back
Top Bottom