Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika kitaifa mkoani Dodoma.
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, ametumia dakika moja wakati akihutubia, kwa ajili ya kumuombea Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Marehemu Job Ndugai, wakati wa sherehe za maonesho Nanenane ambazo zinafanyika Jijini Dodoma, ambapo Rais Samia ndiye mgeni rasmi.