Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa, Korea, Juni 3, 2024

Atakapomaliza muda wake wa urais tujenge chuo kikuu kimoja afundishe huko fans zote alizotunukiwa
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.

View: https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc
===
View attachment 3007278
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.

View attachment 3007279
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea

Mabeberu wamebuni njia mpya ya kututapeli.
 
Kama namuona vile yule dogo Lucas Mwashambwa namna anavyo bubujikwa na machozi ya furaha huko Mbozi aliko, baada ya mama yake kuitetemesha Korea, huku akikata kiu ya Wakorea wote kwa ujio wake.
Nimefurahi sana tena sana kupita maelezo.kwa hakika moyo wangu umeguswa sana kuona namna Dunia inavyoendelea kuona na kutambua mchango wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Kwa hakika Rais Samia ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuilinda kwa wivu mkubwa sana.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.

View: https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc
===
View attachment 3007278
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.

View attachment 3007279
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea

Ivi izi shahada anazotunukiwa zote amezisomea??
 
Shida sio Shahada, je kafanya Nini kupewa hiyo Shahada?.
Korea SI hapo tuh Jiran?na Kwa teknolojia yako kubwa ya kuruka na Ungo usiku we Ruka tuh chap nenda kawaulize Hilo,Kisha Majibu utuletee hapa hapa JF.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.

View: https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc
===
View attachment 3007278
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.

View attachment 3007279
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea

..........We are lost, bewitched by dead spirits, and are likely to be outrageously doomed!!!!
1. Senior government officials from Tanzania Republic of Korea?!!!!
2. Before 2026 Tanzania had only one working flight?!!!

Did she initiate the revamping process for Tanzania Aviation or her predecessor?

Can't we process the strategic minerals (Nickel, Lithium, Helium, Lead, graphite, Uranium, Tanzanite, and magnesium) in Tanzania and export them overseas after indigenously adding value?
 
Falsafa ya heshima kwenye sekta ya anga.

Tungeanza kujadili kipi kimewavutia wakorea mpaka wakatoa hiyo shahada.
 
Mwamba aliyefufua shirika la ndege lililokuwa limekufa na kandege kamoja kale ka Q300 kabovu na Leo hii tunamiliki Airbus na Dreamliner amelala zake chato na PHD ya kemia.
 
Hizi Shahada za Heshima hatuoni wakipewa akina Biden, PUTIN, XIN-JIN PIN wala akina KAGAME huku Africa.

Unaweza kukuta hata Rais wao tu hapo Korea hana Honoracy degree hata Moja.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.

View: https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc
===
View attachment 3007278
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.

View attachment 3007279
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea

Hongera zake nyingi sanakwa kupata digrri leo; ngoja tusubiri thesis yake.

Wale ambao thesis zao ziliandikwa kwa typerwiter tukutane hapa kumpongeza mtununikwa huyu mpya.
 
Back
Top Bottom