Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa, Korea, Juni 3, 2024

Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa, Korea, Juni 3, 2024

Wazungu walishajua, viongozi wa Afrika hasa wenye upeo mdogo wanapenda sifa, wanawajazia sifa, degree za kutosha kisha wanawasainisha mikataba ya zaidi ya Mangungo.
 
Hicho chuo hakijui kuwa ndege zetu pamoja na ATCL zimeitia hasara serikali na kuharibu kodi za watanganyika .
Korea kwenye service na maintenance ya ndege wapo vizuri sana,ndege nyingi sana wanapeleka service korea
 
Naamini hata vyuo kama Havard au Yale kutoka Nchini Marekani pamoja na vile vya Oxford na Cambridge kutoka Uingereza vitakuwa vinakamilisha utaratibu wa kumualika Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi na kumpatia Udaktari wa heshima.hii ni kutokana na uongozi wake kuleta mageuzi chanya na kugusa maisha ya wengi.

Mfano Rais Samia kwa sasa ndio kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya kupikia Ulimwenguni kwote..

Rais Samia ndiye kinara katika kumfungulia njia mtoto wa kike kupata Elimu na kutimiza ndoto zake kwa kumuondolea vikwazo mbalimbali vilivyokuwa vikikwamisha ndoto za mtoto wa kike kupata Elimu.

Ipo siku yaja Rais Samia Mama yetu Mpendwa atapokea tuzo ya Nobel pamoja na ile ya MO Ibrahim
Ndiyo sababu nchi za ulaya zilikubaliana kuanzia mwezi huu nchi zote za ulaya iwe marufuku kutumia kuni na mkaa nchini mwao.
 
This is how wanaficha uovu na kutupumbaza of how wanaenda ku exploit rasirimali zetu. Waafrika twa angamia kwa kukosa maarifa
 
Haya
 
Attachments

  • IMG-20240603-WA0027.jpg
    IMG-20240603-WA0027.jpg
    101.8 KB · Views: 6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.

View: https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc
===
View attachment 3007278
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea.

View attachment 3007279
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea

PhD Ya tatu hii 😀
 
Kama namuona vile yule dogo Lucas Mwashambwa namna anavyo bubujikwa na machozi ya furaha huko Mbozi aliko, baada ya mama yake kuitetemesha Korea, huku akikata kiu ya Wakorea wote kwa ujio wake.
Katika mtu anatutia aibu Mbeya ni huyo dogo.Ila Hawezi onja uteuzi sababu hana facts yeye ni kububujikwa tuu na machozi.
 
Naamini hata vyuo kama Havard au Yale kutoka Nchini Marekani pamoja na vile vya Oxford na Cambridge kutoka Uingereza vitakuwa vinakamilisha utaratibu wa kumualika Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi na kumpatia Udaktari wa heshima.hii ni kutokana na uongozi wake kuleta mageuzi chanya na kugusa maisha ya wengi.

Mfano Rais Samia kwa sasa ndio kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya kupikia Ulimwenguni kwote..

Rais Samia ndiye kinara katika kumfungulia njia mtoto wa kike kupata Elimu na kutimiza ndoto zake kwa kumuondolea vikwazo mbalimbali vilivyokuwa vikikwamisha ndoto za mtoto wa kike kupata Elimu.

Ipo siku yaja Rais Samia Mama yetu Mpendwa atapokea tuzo ya Nobel pamoja na ile ya MO Ibrahim
Oxford na Havard wanaheshimu sana vyuo vyao sio kama hizo takataka.
 
An honorary doctorate in the aviation sector because he spent more time in the air than he spent in the office/on the ground? Makes sense.
 
Back
Top Bottom