Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalam ya Maji (Presidential Water Changemakers Award 2025)

Haters wengi hawajitambui
Haters ukimaanisha nini wale tuliowaajiri, na wanachukua kodi zetu za kuwalipa mishahara na bado ingawa kuna maji yametuzunguka kuna watu hawana maji ? Hapo asiyempenda mwenzake ni nani anayekusanya pesa na bila kuleta value for money au anayetoa pesa na bado kuona kwake maji ni wakati wa mafuriko (uharibifu) na kila akifungua bomba anachopata ni sauti badala ya H2O
 
Bado Shungi award, Hii nadhani itatoka Dubai, kwa hisani ya dini teule
 
Wewe pia ni hater
 

Attachments

  • VID-20250813-WA0023.mp4
    1 MB
Maji watu wanakesha usiku kuyavutaa pol3ni wadanyikaaa

Ova
 
 
Haters wa SSH wanapata tabu San aisee 🤣 🤣
 
Toka Uhuru mpaka leo Dar inategemea maji toka mto Ruvu badala ya bwawa! Matokeo maeneo mengi ya Dar tunatumia maji ya chumvi toka kwenye visima vya Dawasa na binafsi. Haya maji ya chumvi hayafai kufulia pia yanaharibu mabomba ya chuma hasa koki.
 
Haters punguzeni shobo ,mlitegemea SSH amalize shida zenu Kwa miaka 4 wakati mlikuwa na watu wanapiga domo tuu mkiwashangilia?

Mama apewe maua yake

View: https://www.instagram.com/reel/DM8UwJEIii0/?igsh=cGRhY2ZzMTZ0amR6
View: https://www.instagram.com/reel/DM-hIaeIyWD/?igsh=cnZuMWRvbWplMjVq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…