Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalam ya Maji (Presidential Water Changemakers Award 2025)

Ukiona issue yupo Msoga basi ni ya mchongo full
 
Friends in arms!! Angalia Watawala Weusi alivyoiharibu South Africa, another third world by black people making!!!!!!!!!!! Hata sura zao tu ukiziona hamna kitu wanachokifanya kina nia njema na population wanazotawala
 
SSH amesikia kilio chenu kazi inaendelea 👇 👇

View: https://youtu.be/VIamXIBEJ8M?feature=shared
Unatoa tuzo bila kushirikisha wananchi ambao wanazo changamoto ambazo mtoa tuzo haujaziona kwa sababu umefikia kwenye hoteli ya Nyota Kumi! Tuzo hiyo kwangu hainisaidii kwani ninalo na nitaendelea kuishi na hilo tatizo. Imepita zaidi ya miaka kumi tangu nilipoweka Post humu kuhusu Dar kutumia maji ya mferejini Ruvu, hapa unielewe kwani mto Ruvu wa mwaka 1966 ni tofauti sana na huo mfereji unaoonekana sasa kwani umepoteza maji kwa asilimia 75 hivi.
 
Wewe ni mbumbumbu kweli,Wananchi washirikishwe kutengenezo Tuzo au? 😂😂

Wewe si unataka shida za maji zitatuliwe? Hicho nilichokuonesha kinatatua nini Sasa?

Hater Bado hujasema na hapa kazi inaendelea Dom

View: https://www.instagram.com/reel/DHbrZpCgPQ6/?igsh=MTh0a2t1ZnZxYmt0eA==
Na kazi inaendelea huko site 👇 👇

View: https://www.instagram.com/reel/CyxqQJJM4YG/?igsh=MXI1MGdwcjFtcjVxbA==
 
Dom soon itakuwa shangwe tuu
1.Bwawa la Farkwa kazi inaendelea
2.Bwawa la Membe Chamwino kazi inaendelea
3.Maji ya Mtera kazi inaendelea
4.Maji ya Ziwa Viktoria Usanifu unaendelea.

View: https://www.instagram.com/reel/CsBlp8SM3rY/?igsh=NnUxanZmejV2dnc5
 
Ahadi za uchaguzi siyo?
Water bodies tulizonazo na ukichukulia tangu uhuru hadi leo tunapambania kupata huduma ya maji....

Huu ni uzembe na makusudi kutumia cheap politics kwenye maisha ya watu.

Sema jingine
Haters hamtamuweza SSH,Kila mara nawaambia hakuna Rais amewahi fanya delivery kubwa Kwa mda mfupi kila sekta kushinda Samia katika Historia ya Nchi hii.

Njoo ubishe na hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DJYt1moK4K-/?igsh=MXFuZHZibHdpbHAwbw==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…