Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ama kwa hakika Dr.Samia Suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania wote na ni nembo ya amani na umoja wa kitaifa bila kujali dini au kabila za jamii ya kiTanzania.Ndugu zangu Watanzania,
Itoshe kusema ya kuwa usishindane na alipewa Kibali na Mungu , usishindane na Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu , usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.
Rais Samia ni Mbarikiwa,Rais Samia ni Mpango wa Mungu,Rais Samia ni chaguo la Mungu,Rais Samia kainuliwa kwa Mkono wa Mungu ,Rais Samia yupo hapo Alipo kwa Kibali cha Mungu Mwenyewe.
Huwezi kumshusha kwa chuki zako Binafsi wala huwezi kuondoa upendo walionao watanzania juu yake wala huwezi kufanya lolote lile huu yake ukafanikiwa. Taifa linabarikiwa na kubarikiwa kwa sababu kitini yupo aliyepewa kibali na yeye aliye juu.
Fanya ufanyavyo,nuna uwezavyo,sema uwezavyo,vimba mdomo na mashavu uwezavyo,chukia uwezavyo lakini kamwe na katu huwezi kuondoa kibali cha Mwenyezi Mungu kilicho juu ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu.
Ndio Maana mnaona akiendelea kuchanja mbuga kwa mafanikio makubwa sana na kupata ushindi kwa kila jambo afanyalo pamoja na Mipango kufanikiwa kama Taifa.
Rais wetu anaendelea kujizolea Tuzo mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali Duniani ndani na nje ya Nchi yetu kutokana na watu kutambua mchango wake katika maendeleo ya Taifa letu pamoja na ustawi wa watanzania.
Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo kuu la Mbozi limempatia Tuzo Rais wetu Mpendwa. Ambapo tuzo hiyo imepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mheshimiwa Jabil Makame. Ambaye alimuwakilisha Rais wetu Mpendwa kutokana na Ratiba ya Rais wetu Mpendwa kubana na kukosa nafasi ya kuweza kufika Mkoani Songwe wilaya ya Mbozi..
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3587789
Ondoa ujinga wako hapa weweIDD AMINI SAMIA KILLED 10000000 PEOPLE ON OCTOBER 29
Huna akili kubwa jinga weweTuzo ya Mauaji
duh, ila we kama tomaso !Ndugu zangu Watanzania,

Sitafuti uteuzi ndugu yangu mtanzaniaAsee Bado tu hujalamba teuzi.
Ndugu zangu Watanzania,

Wivu tu ndio unaokusumbuaHayo makanisa madogo njaa nyingi ukiona hivyo jua kuna mchango muda sio mrefu watauomba kwa rais (nimetumia herufi ndogo kwa makusudi kwasabb aliyepo hastahili)!.
Na kama mjuavyo mama mpenda sifa asizostahili mtamsikia tu tbc 'mama atoa ml 100 kusaidia ujenzi kanisa moravian mbozi'.
Wewe hujitambui kabisa na unastahili tuzo ya UwendawazimuTuzo ya kuua Watanganyika zaidi ya 10,000.
Ndugu zangu Watanzania,
Itoshe kusema ya kuwa usishindane na alipewa Kibali na Mungu , usishindane na Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu , usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.
Rais Samia ni Mbarikiwa,Rais Samia ni Mpango wa Mungu,Rais Samia ni chaguo la Mungu,Rais Samia kainuliwa kwa Mkono wa Mungu ,Rais Samia yupo hapo Alipo kwa Kibali cha Mungu Mwenyewe.
Huwezi kumshusha kwa chuki zako Binafsi wala huwezi kuondoa upendo walionao watanzania juu yake wala huwezi kufanya lolote lile huu yake ukafanikiwa. Taifa linabarikiwa na kubarikiwa kwa sababu kitini yupo aliyepewa kibali na yeye aliye juu.
Fanya ufanyavyo,nuna uwezavyo,sema uwezavyo,vimba mdomo na mashavu uwezavyo,chukia uwezavyo lakini kamwe na katu huwezi kuondoa kibali cha Mwenyezi Mungu kilicho juu ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu.
Ndio Maana mnaona akiendelea kuchanja mbuga kwa mafanikio makubwa sana na kupata ushindi kwa kila jambo afanyalo pamoja na Mipango kufanikiwa kama Taifa.
Rais wetu anaendelea kujizolea Tuzo mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali Duniani ndani na nje ya Nchi yetu kutokana na watu kutambua mchango wake katika maendeleo ya Taifa letu pamoja na ustawi wa watanzania.
Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo kuu la Mbozi limempatia Tuzo Rais wetu Mpendwa. Ambapo tuzo hiyo imepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mheshimiwa Jabil Makame. Ambaye alimuwakilisha Rais wetu Mpendwa kutokana na Ratiba ya Rais wetu Mpendwa kubana na kukosa nafasi ya kuweza kufika Mkoani Songwe wilaya ya Mbozi..
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3587789
Ama kwa hakika Dr.Samia Suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania wote na ni nembo ya amani na umoja wa kitaifa bila kujali dini au kabila za jamii ya kiTanzania.
Hongera Dr Samia Suluhu Hassan,
well done Moravian church of Christ in Tanzania 🐒