Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

Hicho chuo lazima kipo jimbo lenye utawala wa Sharia na kuna wafuasi wengi wa Boko Haram
 
Cheza na mtandao nini,watahonga vyuo,mabaraza na majukwaa mbali mbali ili wasamsafishe mtu wao heshima kwa mutandao
 
Wanaposema yeye ni Rais wa pili mwanamke Afrika ni kivipi mbona mimi nawakumbuka wawili waliokuwepo tayari JOYCE BANDA na ELLEN JOHNSON SIRLEAF?
 
Kibaka wa kizimkazi!
Ninachokiona, Samia anaongoza nchi na watu watatu tu, TISS(DG ni mzenj), Mchengelwa(mkwe), Makonda(chawa),
Viongozi wengine kwenye chama na serikali,wapo kupiga pesa tu, wamegundua boss wao ni kilaza,mediocre, haelewi chochote, haambiliki, magazine(wa ukriato na ubara),
Wanaona bora liende tu, wanamchekea usoni,Ila akianguka wanafurahi!
 
Hatutaki shahada yake. Tunataka katiba mpya 😎
 
Alianza yule wa Liberia akaja wa Malawi SSH rais wa tatu mwanamke barani Afrika.

Tanzania kwenye mbinu za medani haijambo, inazijua za kila aina.
 
Hiki chuo kipo kwenye Jimbo lenye waislamu wengi hivyo sishangai. Samia hafai Kwa namna yoyote ile hata ya Bure.
1. Kidnaper
2. Butcher
3. Plunder
4. Failure
5. Cursed

Woman
Mlimuona mva ushungi mkahisi mnaweza kumkosea heshima kadri mnavyojisikia, ikala kwenu.
 
Uzwazwa mtupu. Jitu lilikimbia umande lakini linaona fahari kuitwa daktari. Nadhani kuna namna. Isijekuwa wanavihonga hivi vyuo uchwara viwape huu utombo. Kilaza ni kilaza. Hata akipata magunia ya PhD, hayataondoa ukweli kuwa bado ni kilaza tu.
 
Hatuwataki WaNigeria bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…