Rais Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

BABU TALE NAYE ANA PHD NI DARASA LA 7.JE PHD YAKE INASAIDIA NIN NCHI? VP BDO KILA KIONGOZI ANAKULA KWA UKUBWA WA KAMBA YAKE,NA JE SISI RAIA WA KAWAIDA TUTAKULA KWA KAMBA IPI?
 
Uturuki aliishi Bikira Mariam na Rais alipokwenda Vatican alimkabidhi Baba Mtakatifu Papa Francisco Zawadi ya Rozari

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia
 
BABU TALE NAYE ANA PHD NI DARASA LA 7.JE PHD YAKE INASAIDIA NIN NCHI? VP BDO KILA KIONGOZI ANAKULA KWA UKUBWA WA KAMBA YAKE,NA JE SISI RAIA WA KAWAIDA TUTAKULA KWA KAMBA IPI?
Si unaona bungeni anavyochangia na kushusha nondo 😄

Ova
 
Uchumi wa India mfano unakuwa kwa zaidi ya asilimia 7 ni moja ya uchumi unaokuwa kwa kasi ya kutisha Duniani, ila huwezi kuta Waziri Mkuu wa India anatunukiwa Udakitari wa Heshima.

Hizi ni hadaa na wanatunukia Viongozi wa Theid world countries hasa za Africa.
 
Hawa jamaa wameishajua udhaifu wa mtu mweusi, Mpe sifa za kijinga na vyeo asivyokuwa navyo
 
Hizi ndizo Shanga na chumvi za kileo walizokuwa wakitunukiwa viongozi wa enzi zile za giza. Leo hii bado tunao viongozi ambao hawana tofauti yoyote na wale wa enzi zile.

Hongera kwake huyo aliyetunukiwa. Atapendeza sana akizivaa hizo shanga mpya.
Hizi Degree za heshima wanawapa viongozi wa Africa pekee, Kule Asia huwezi kuta huu ujinga.
 
Wamepiga hela wakaona wampofushe kwa PhD ya uchumi fake
Ndio lengo kuu
 
Imekuuma?
 
Siku hizi waturuki Tanzania wamekuwa kama wachina na wanyasa yaani wengi mno kuanzia kwenye makampuni ya ujenzi mpaka machinga wa vyombo tena mpaka majumbani.
 
Siku hizi waturuki Tanzania wamekuwa kama wachina na wanyasa yaani wengi mno kuanzia kwenye makampuni ya ujenzi mpaka machinga wa vyombo tena mpaka majumbani.
Safi sana, wanatuonesha jinsi tulivyozubaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…