Rais Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

Nchi ngum sana hii
 
Kama anapenda sana vyeti aende shule bado hajachelewa, hivyo vya kupewa bure ni dharau kubwa!.
 
Wanatufahamu vema waafrika,hapo kibunda cha kutosha lazima walambe.
 
Ukiwa Mwanasiasa (hasa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) unaweza kuishia kidato cha 6 lakini ukapata hadi PhD 50 Kwa kupewa 😜🙌

Anyways, hongera Daktari Bingwa Mpya wa Uchumi, Dr. Samia

Naona Dr Mwigulu amepata mpinzani katika Uchumi 😅😅
 
Kazi mama samia ni ...2021-2025

1.kutunukiwa udaktari
2.kuteua kila siku lazima aweze hii
3.kutengua hii pia kila siku
4.kusafiri kwenda nje ya nchi

Mkalitazame na hilooo pia......
 
Kazi mama samia ni ...2021-2025

1.kutunukiwa udaktari
2.kuteua kila siku lazima aweze hii
3.kutengua hii pia kila siku
4.kusafiri kwenda nje ya nchi

Mkalitazame na hilooo pia......
Sikuelewi unasema nini.

Wewe unampangia Rais wa nchi kazi zake?

Wewe unafanya kazi ipi?
 
Aache kutunukiwa Biden aliyepandisha thamani ya dola duniani au Ruto, ukiona kitu wazungu hawashoboki ujue ni hewa hakina maana yoyote. Aliyemtunuku mwenyewe haitwi Dr, hapo ndiyo tatizo linaanzia
 
Imekuuma?
Vipi upo kwenye huo msafara? Imuume kwa lipi wakati Rais wetu amepata zawadi ya bure? Iambie senete ya hicho chuo kwamba na Joe Biden wa Marekani hana PhD nae wamtunukie hiyo ya bure.
 
Bahati mbaya sifa ya Urais ni Hadi uwe na Degree
 
Bibi amefikisha PhD ngapi Hadi Sasa?
Next,
1. university of Dubai
2. University of Oman
3. University of Saudi
4. University of Cape town
5. University of Dodoma
6. Open university of TANZANIA
 
Yaan nilishangaa sana Jana msukuma yule Mbunge wa ushetu sijui kishetu anajisifia kua yeye ni Daktari wa Akili tena bungeni yaan anajimwambafai kabisa kumbe udaktari wa kupewa sio wa kusomea huu ni usengekisenge
Sasa hapo ndipo inapasa uelewe ilikofikia nchi yetu hii. Huyo mtu anayejiita Msukuma, si ndio waliopewa jukumu la kulainisha uuzaji wa bandari yetu? Watu matapeli kama hao ndio wanaoendesha nchi hii sasa hivi.
 
Mbona ya Magufuli hukukenua meno hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…