Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapendeni sana.
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameumia sana moyo wake na kusikitishwa sana na vifo vya watanzania wenzetu waliofariki Dunia kutokana na kufukiwa na kifusi Mgodini Mkoani Shinyanga .
Rais wetu Mpendwa kwa moyo wa unyenyekevu,upole na huruma kubwa sana ametuma salama za pole nyingi sana kwa wafiwa na familia zilizoguswa na msiba huo.
Lakini pia Rais wetu Mpendwa ameomba Mungu awasaidie Majeruhi wote uponaji wa haraka ili waweze kurejea katika shughuli zao za kila siku za ujenzi wa Taifa letu na Maisha yao Binafsi.
Sanjali na hayo Rais wetu Mpendwa ametoa maagizo Mazito kwa vyombo vya ulinzi na usalama hususani jeshi la zima moto na uokoaji kwa kushirikiana na idara zingine zote kupeleka misaada kwa uharaka kwa ajili ya kuwasaidia walioathirika na tukio hilo.
Hii ndio Maana ya Mfariji wa Taifa. Rais wetu Mpendwa amekuwa kiongozi aliye mstari wa mbele kabisa pale wananchi au hata mwananchi mmoja mmoja anapopatwa na tatizo. Amekuwa ni Mama mwenye kujali maisha ya watu na shida wanazopitia. Ni kiongozi anayeguswa na mwenye uchungu na maisha ya watu. Anaumia sana anapoona mtanzania hata mmoja tu anapoteza maisha katika ajali na matukio ya kufanana na hili. Na amekuwa akitoa misaada na maelekezo ya kuhakikisha wananchi wanasaidiwa kwa uharaka sana na serikali yao .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.