Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

aliyetudanganya kuwa serikali ikiwa kubwa ndio ufanisi utaongezeka alituweza. tuna wabunge 200 na chenji, mawizara ya kutosha, utitiri wa bodi hadi za nyama, bado mashirika ya umma, lakini wapi... matokeo yake tunatumia zaidi ya nusu ya mapato kuhudumia serikali, tutafika kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…