Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri


Wizara ya uwekezaji inaunda au imepelekwa wapi? Maana ilikuwa ndani ya Wizara ya Uwekezaji, viwanda na biashara

mit.go.tz
https://www.mit.go.tz
Wizara ya Viwanda na Biashara

Wizara ya Uwekezaji, viwanda na biashara
 
Chadomo wanaumia sana ila ndio hawana Cha kufanya zaidi ya kujifariji Kwa matusi 😂😂😂😂
 
Tanzania rais akiamka tu ameshiba ugali utumbo anaanzisha wizara, kwsho anaifuta, keshokutwa anaanzisha nyingine.

Nchi masikini lakini wizara za kutosha.
 
Mama Yetu anatapa tapa tu, hajui hata anafanya nini, reaction ya watanzania dhidi ya mkataba wa bandari imemvuruga kabisa, ni kama vile haamini macho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…