Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Magufuli alinunua kwa fedha zetu.mama annunua kwa fedha za mabepari.watachukua nini kwetu?watch it out.
Nakushauri ukiumwa usipande hizi ambulance za mabepari wazungu. Usikubali kabisa.
 
Vichwa na mabehewa viko njiani vinakuja, ujenzi unaendelea na hela zimetolewa rejea speech ya Masanja Kadogosa
Mwafrika mtu wa ajabu sana, hapo wanaombea mradi wa SGR usikamilike ili waseme ushenzi wao.

Sasa wamebaki kusema Mara tozo Mara mikopo nk. Na bado watulie sindano iwaingie vizuri dawa ikolee.

Walidhani Magufuli pakee ndio Mungu wao atakayeongoza miaka yote kwa kisingizio kwamba yeye ndio atakayeleta maendeleo pekee.

Nchi hii yetu site na kila mtu akipata nafasi Kuna mazuri atayafanya kwa manufaa ya taifa hili sio huyo Magufuli pekee.

Wanaumbuka sasa, na vitakamilika vyote na mengine yatakuja watabaki na chuki zao ambazo haziwasaidii lolote.

Madarasa, vituo vya afya , dawa na mashine za hospital zimeletwa na mama kwa muda wa miezi minne tu, na keshagawa zaidi ya ambulance 350 Tanzania nzima wao wamebaki na reli tu hawaoni Kuna mambo mapya yanafanyika ndani ya muda mfupi sana.

Chuki na roho za uchu wa madaraka vinawasumbua walidhani nchi itaongozwa na Kanda ya ziwa oekee maana ndio walitaka kutengeneza dynasty yao Sasa wameumbuka.

Nchi inasonga na wanaona mapya mengi Ila wanabaki kulilia legacy ya kipumbavu ambayo haisaidii kitu.
 

Uchungu kuona kwamba waliemuona masihi rekodi yake inafutwa kwa speed na mwanamama wa visiwani.
Mama anaonyesha matumizi ya akili ni bora kuliko nguvu. Kitu ambacho wachungi na wakulima wa jembe la mkono hawaamini.
 
Na kwamba wasivimbiwe,wajipimie!Hiyo inamaana gani?
 
Huko ndio kujipimia kula,kwamba Rais anajua kuwa mawaziri kwenye maeneo Yao wanapata ila wajipimie!Hapo unatafsiri vp?
Kipimo chao ni vile vilivyo halali yao. Mshahara, posho nk lakini si kuiba.
 
Kipimo chao ni vile vilivyo halali yao. Mshahara, posho nk lakini si kuiba.
Ndio kujipimia?mi nijuavyo malipo yote halali wanapimiwa na mtu hawezi kuvimbiwa malipo halali!Ukianza kujipimia maana yake ni uchukue kile utakachoona kinakutosha!
 
Ndio kujipimia?mi nijuavyo malipo yote halali wanapimiwa na mtu hawezi kuvimbiwa malipo halali!Ukianza kujipimia maana yake ni uchukue kile utakachoona kinakutosha!
Kiswahili tu hicho bwashee; kule atokako maza chao kimenyooka kama rula.
 
Kama miaka mitano tulinunua ambulance 117 leo miezi michache tu ambulance 395 hii rekodi haijawahi kutokea
 
Ongeeni habari za SGR imefikia wapi na inaanza kazi lini ,acheni mahoka huko bongo
unaongelea SGR kipande kipi?

SGR inajengwa kwa Phases,

Rais Samia anaendelea kuweka rekodi za kudumu Tanzania,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…