Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabidii sana yakupotosha chief,Rais Samia avunja record ya kuhamasisha ufisadi kwenye Taifa tena kupitia TV ya Taifa🐒🐒🐒
View attachment 2101140
Nakushauri ukiumwa usipande hizi ambulance za mabepari wazungu. Usikubali kabisa.Magufuli alinunua kwa fedha zetu.mama annunua kwa fedha za mabepari.watachukua nini kwetu?watch it out.
Mwafrika mtu wa ajabu sana, hapo wanaombea mradi wa SGR usikamilike ili waseme ushenzi wao.Vichwa na mabehewa viko njiani vinakuja, ujenzi unaendelea na hela zimetolewa rejea speech ya Masanja Kadogosa
Hahaha bonge la Ushauri,Nakushauri ukiumwa usipande hizi ambulance za mabepari wazungu. Usikubali kabisa.
Nimepotosha kitu gani?Unabidii sana yakupotosha chief,
Mwafrika mtu wa ajabu sana, hapo wanaombea mradi wa SGR usikamilike ili waseme ushenzi wao.
Sasa wamebaki kusema Mara tozo Mara mikopo nk. Na bado watulie sindano iwaingie vizuri dawa ikolee.
Walidhani Magufuli pakee ndio Mungu wao atakayeongoza miaka yote kwa kisingizio kwamba yeye ndio atakayeleta maendeleo pekee.
Nchi hii yetu site na kila mtu akipata nafasi Kuna mazuri atayafanya kwa manufaa ya taifa hili sio huyo Magufuli pekee.
Wanaumbuka sasa, na vitakamilika vyote na mengine yatakuja watabaki na chuki zao ambazo haziwasaidii lolote.
Madarasa, vituo vya afya , dawa na mashine za hospital zimeletwa na mama kwa muda wa miezi minne tu, na keshagawa zaidi ya ambulance 350 Tanzania nzima wao wamebaki na reli tu hawaoni Kuna mambo mapya yanafanyika ndani ya muda mfupi sana.
Chuki na roho za uchu wa madaraka vinawasumbua walidhani nchi itaongozwa na Kanda ya ziwa oekee maana ndio walitaka kutengeneza dynasty yao Sasa wameumbuka.
Nchi inasonga na wanaona mapya mengi Ila wanabaki kulilia legacy ya kipumbavu ambayo haisaidii kitu.
Kila unachopost humuNimepotosha kitu gani?
Na kwamba wasivimbiwe,wajipimie!Hiyo inamaana gani?Kwani wewe jamaa ni kilaza sana kiasi kiswahili kimekupiga chenga sana au..? Hii methali ya Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mbona imekuwa ikifundishwa tangu darasa la pili na tafsiri yake kila mtu atakula kilicho halali kwake aubkwa mujibu wa jitihada aliyofanya. Sasa kuna kitu gani kigeni hapo kwenye statement ya SSH? The president was insisting everyone should observe boundaries when acting towards public interest. Simply that.
Na kwamba wasivimbiwe,wajipimie!Hiyo inamaana gani?
Huko ndio kujipimia kula,kwamba Rais anajua kuwa mawaziri kwenye maeneo Yao wanapata ila wajipimie!Hapo unatafsiri vp?Wasijione wao ndo kila kitu.
Kipimo chao ni vile vilivyo halali yao. Mshahara, posho nk lakini si kuiba.Huko ndio kujipimia kula,kwamba Rais anajua kuwa mawaziri kwenye maeneo Yao wanapata ila wajipimie!Hapo unatafsiri vp?
Ndio kujipimia?mi nijuavyo malipo yote halali wanapimiwa na mtu hawezi kuvimbiwa malipo halali!Ukianza kujipimia maana yake ni uchukue kile utakachoona kinakutosha!Kipimo chao ni vile vilivyo halali yao. Mshahara, posho nk lakini si kuiba.
Kiswahili tu hicho bwashee; kule atokako maza chao kimenyooka kama rula.Ndio kujipimia?mi nijuavyo malipo yote halali wanapimiwa na mtu hawezi kuvimbiwa malipo halali!Ukianza kujipimia maana yake ni uchukue kile utakachoona kinakutosha!
Hapana,ameeleweka vizuri kuwa mawaziri wale lakini wasivimbiwe!Kiswahili tu hicho bwashee; kule atokako maza chao kimenyooka kama rula.
Huu ni Uchochezi tu
Umeeleza vizuri sana hapa,Kipimo chao ni vile vilivyo halali yao. Mshahara, posho nk lakini si kuiba.
😀😀Ongeeni habari za SGR imefikia wapi na inaanza kazi lini ,acheni mahoka huko bongo
unaongelea SGR kipande kipi?Ongeeni habari za SGR imefikia wapi na inaanza kazi lini ,acheni mahoka huko bongo