Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Ambulance 395,

Magarichanjo 214

Mmewahi kusikia hili awamu gani tangu nchi hii ipate Uhuru
 
Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Unaamini hadithi za Abunuwasi? Sijui visenti kwa ambulansi zilitoka wapi, menginevyo marehemu alikopa kwenye benki za kibiashara na kujenga deni ghali. Mama alipaswa tayari kutumia pesa nafuu kutoka mkopo wa IMF kulipa gharama za mikopo ya marehemu maana ile short term commercial credit ilikomaa tayari baada ya miaka 5 (tena riba ya juu).
Hujasikia?
 
Aise hatari tupu, Rais Samia yako vizuri sana
 
Wonderful,
 
Tusisahau mambo haya mazuri ya Mama Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…