Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Ambulance 395,
Magarichanjo 214
Mmewahi kusikia hili awamu gani tangu nchi hii ipate Uhuru

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda sana Uchochezi, Kama hujui kiswahili sanifu kaa kimyaHapana,ameeleweka vizuri kuwa mawaziri wale lakini wasivimbiwe!
Ok,ila hii ndio mara ya mwisho kureply nyuzi zinazofufuliwa kiholela!Unapenda sana Uchochezi, Kama hujui kiswahili sanifu kaa kimya
Hii ndio UVCCM,Tutamtetea Mama mpaka dakika ya mwishoOk,ila hii ndio mara ya mwisho kureply nyuzi zinazofufuliwa kiholela!
fursa vijana tuchangamke sasa
Unaamini hadithi za Abunuwasi? Sijui visenti kwa ambulansi zilitoka wapi, menginevyo marehemu alikopa kwenye benki za kibiashara na kujenga deni ghali. Mama alipaswa tayari kutumia pesa nafuu kutoka mkopo wa IMF kulipa gharama za mikopo ya marehemu maana ile short term commercial credit ilikomaa tayari baada ya miaka 5 (tena riba ya juu).Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Aise hatari tupu, Rais Samia yako vizuri sanaUnaamini hadithi za Abunuwasi? Sijui visenti kwa ambulansi zilitoka wapi, menginevyo marehemu alikopa kwenye benki za kibiashara na kujenga deni ghali. Mama alipaswa tayari kutumia pesa nafuu kutoka mkopo wa IMF kulipa gharama za mikopo ya marehemu maana ile short term commercial credit ilikomaa tayari baada ya miaka 5 (tena riba ya juu).
Hujasikia?
Sifa ni kwa Rais Magufuli aliyempitisha awe makamu wake na sifa nyingi kwa Mungu aliyewaweka hao wote , kila mmoja kwa wakati wake.
Hakika umenena mkuu,Sifa ni kwa Rais Magufuli aliyempitisha awe makamu wake na sifa nyingi kwa Mungu aliyewaweka hao wote , kila mmoja kwa wakati wake.
Wapi?Khe Rais kanunua
Katembelee uone ilipofika. acha kupiga ramli kwenye mitandaoOngeeni habari za SGR imefikia wapi na inaanza kazi lini, acheni mahoka huko bongo
Wonderful,Maajabu ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Tanzania imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari mapya 214 kwa ajili ya chanjo kwa mpigo kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu tuwe huru kama Taifa,
===
Mtakumbuka awamu ya tano kwa miaka yote mitano tulifanikiwa kununua jumla ya ambulance 117,
Maajabu ni haya ya awamu hii ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwani tayari tumeagiza ambulance zingine brand new 395 na magari ya Chanjo 214 mapya,
Mambo haya yanafanywa na Rais anayethamini na kulinda Utu na Uhai wa Watanzania wote bila kujali dini, kabila, rangi wala kanda,
Rais Samia Suluhu kwa kutumia fedha ya kusisimua uchumi Economic Stimulus relief fund toka IMF,
Tayari ameagiza zinunuliwe Jumla ya Toyota Land cruiser ambulance mpya 395 pamoja na magari mapya 214 kwaajili ya Chanjo aina zote 15 ikiwemo chanjo ya Covid-19,
Nahapa lazima niwe mkweli kama mambo ni haya basi kumbeza Rais Samia Suluhu Hassan nikujitafutia laana za bure kwa Mungu kwani kazi hii ni ya Mungu mwenyewe,
Mtakumbuka awamu yetu ya tano katika kutekeleza Ilani ya CCM tulifanikiwa kununua Toyota Land cruiser ambulance mpya 117 kwa miaka mitano,
Hayati Dkt John Joseph Magufuli kwa kutununulia hizo ambulance lazima tuendelee kumuenzi na kumwombea pumziko jema,
Kwakuwa Tanzania tuna jumla ya Wilaya 139 na zote zina hospitali za Wilaya,
Wilaya zote baada ya hizi ambulance kufika kila Hospitali ya wilaya itapata ambulance mpya ( brand new) kwaajili ya kunusuru roho za Watanzania hawa masikini kwa kuwakimbiza kwenye hospitali za juu (referral hospitals).
Kwakuwa Tanzania pia tuna jumla ya Halmashauri zipatazo 184 ,
Nakwakuwa hesabu ya ambulance zilizoagizwa ni 395 basi kila halmashauri itapata ambulance mpya,
Ambulance hii mpya itakuwa ni kwaajili ya kuhudumia ama Kituoa cha afya ama Zahanati kwaajili ya rufaa za wagonjwa wao kwenda hospitali za Wilaya na Mikoa,
Watu wa Idara ya afya tunzeni sana mali hizi za Watanzania hawa masikini.
Ambulance hizi 395 ni mara tatu zaidi ya ambulance zote 117 zilizonunuliwa kwa miaka mitano yote ya awamu ya tano,
Jambo hili kwa Wale wenye kumbukumbu nzuri mtakubaliana na mimi kuwa hii halijawahi kutokea katika historia ya nchi hii,
" kama kuna mtu wa kumwombea kwa nguvu zote kwa sasa basi ni Rais Samia Suluhu Hassan "
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Maajabu ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Tanzania imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari mapya 214 kwa ajili ya chanjo kwa mpigo kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu tuwe huru kama Taifa,