mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Serikali ya awamu ya 6 ni serikali ya chama kilekile CCM kwa miaka60 sasa, na ni matokeo ya serikali ya awamu ya 5 kwa asilimia 100.
Tusisahau SSH alikua namba2 kwenye serikali ya JPM na ndio maana akaja na kauli mbiu ya KAZI IENDELEE
Tukiweza kupongeza mafanikio yake bila kulazimisha kumpambanisha na kumfananisha SSH na JPM tutaisaidia nchi yetu na tutamsadia zaidi Rais wetu leo, kesho na miaka ijayo
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote