Good,Vichwa na mabehewa viko njiani vinakuja, ujenzi unaendelea na hela zimetolewa rejea speech ya Masanja Kadogosa
Kwa mapato gan mzee tupe takwimu.... Why deni la taifa limeongezeka?Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
lete evidence mkuu,Kwa mapato gan mzee tupe takwimu.... Why deni la taifa limeongezeka?
Unaoushahidi mkuu?Magufuli alinunua kwa fedha zetu.mama annunua kwa fedha za mabepari.watachukua nini kwetu?watch it out.
Is not true kwamba mapato ya ndani ndio yalifanya tuendelee wakati kupitia mapato ya ndani hata 50%hatujafika pia kama alikuwa anatumia mapato ya ndani why deni liliongezeka katika utawala wake?lete evidence mkuu,
Mapato mbona nimeainisha hapo?...
Unaona gari la wagonjwa sio priority kweli mkuu?Je, hiyo ni priority? 2025 atavuna mabua.
Nadhani sikukuelewa vema am sorry,Is not true kwamba mapato ya ndani ndio yalifanya tuendelee wakati kupitia mapato ya ndani hata 50%hatujafika pia kama alikuwa anatumia mapato ya ndani why deni liliongezeka katika utawala wake?
Toba Yahi-Lahhi.Huyo mungu atakua taahira ambae anaweza kumlaani mtu anaempinga samia.
Mshaurini samia hayo mambo makubwa akayafanye kwao Zanzibar...
Kuna Watu walishalaaniwa so pray for them,Toba Yahi-Lahhi.
Amalize HPP pamoja na SGR mengine baadaye. ie miradi ya kimkakati ndio itaondoa hii nchi kwenye matatizo yaliyokubuhu.Unaona gari la wagonjwa sio priority kweli mkuu?
Kwani wewe unaishi nchi gani?....
Ohoooo!!!Magufuli alinunua kwa fedha zetu.mama annunua kwa fedha za mabepari.watachukua nini kwetu?watch it out.
Magufuli gani aliyenunua kwa fedha za ndani? Huyo si alishakopa hadi commercial loans kule credit suisse bank?Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Magufuli alinunua kwa fedha zetu lini mtu aliyekuza deni LA Taifa mpaka lika bust.Samia naye anafanya Yale Yale aliyofanya Magufuli hii Nchi Viongozi wake na Wananchi wake walaana sio bure.Magufuli alinunua kwa fedha zetu.mama annunua kwa fedha za mabepari.watachukua nini kwetu?watch it out.
Hii tamko ni kwa niaba ya nani?Huyo mungu atakua taahira ambae anaweza kumlaani mtu anaempinga samia.
Mshaurini samia hayo mambo makubwa akayafanye kwao Zanzibar...
Anamaliza tena on-time,Amalize HPP pamoja na SGR mengine baadaye. ie miradi ya kimkakati ndio itaondoa hii nchi kwenye matatizo yaliyokubuhu.
Ndege nazo alikopa pesa.Magufuli gani aliyenunua kea fedha za ndani? Huyo si alishakopa hadi commercial loans kule credit suisse bank?
Good,Hii tamko ni kwa niaba ya nani?
SISI HUKU KWETU HAPANA TUTAMCHAGUA,
1.Huyu Mwanamke Mzanzibar mimi kanijengea kituo cha afya ambacho mbara alishindwa, mimi nitamchagua hivyohovyo,
2.Huyu Mwanamke Mzanzibar anasomesha mtoto wangu bure mpaka form four Mimi nitamchagua hivyohivyo,
3.Huyu Mwanamke Mzanzibar ametoa mikopo ya HESLB kwa watoto wote akiwemo wakwangu, Mimi nitamchagua hivyohivyo,
4.Huyu mwanamke Mzanzibar anajenga SGR bara Sio Zanzibar mimi nitamchagua hivyohivyo,
5. Huyu mwanamke Mzanzibar amenijengea JNHPP nitapata umeme wa 2,115MW zitaingia bara sio Zanzibar Mimi nitamchagua hivyohivyo,
6. Huyu Mwanamke Mzanzibar amenunua ambulance 395 za bara mimi nitamchagua hivyohivyo,