Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Kuna wapuuzi hapa hawajui kama magufuli alikopa mamilioni ya dola kutoka huko nje kujengea standard gauge na bwawa la mwalimu Nyerere.
 
Mradi tu zisitumike na waganga wakuu kama gari binafisi kuhudumia familia zao.
 
Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Nani alikudanganya ?!. Awamu ambayo deni la taifa lime double, ni awamu ya 5 ya Maghufuli.

Acha zile propaganda za Jiwe jukwaani
 
Nani alikudanganya ?!. Awamu ambayo deni la taifa lime double, ni awamu ya 5 ya Maghufuli.

Acha zile propaganda za Jiwe jukwaani
Ime-double, figure ilitoka ngapi na kufika ngapi
Tuwekee kiasi
 
Nani alikudanganya ?!. Awamu ambayo deni la taifa lime double, ni awamu ya 5 ya Maghufuli.

Acha zile propaganda za Jiwe jukwaani
😍😍😍

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI ||
 
Nimejaa tele mtoto wa mama wa kwanza wa taifa

Mungu amlinde mama yetu😍
Upo mama?

I miss you

😍😍😍

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI ||
 
Kuna wapuuzi hapa hawajui kama magufuli alikopa mamilioni ya dola kutoka huko nje kujengea standard gauge na bwawa la mwalimu Nyerere.
Polepole wataelewa tu

😍😍😍

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI ||
 
It might be Transparency at its best, my gesture though, I have got nothing to compile as a supportive reference.
Definitely

😍😍😍

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI ||
 
Mkuu wewe umesoma chuo gani kama hujui faida ya "Comparative advantage,"

View attachment 1971970

Anaposema pesa ya dawa imeongezeka toka Tshs 31BL 2015 hadi 270BL 2020 hii sio rekodi,

Chadema acheni uchonganishi
Tuambieni kwanza vile Vituo vya afya 400 mlivyojenga vipo wapi???? Acheni ujuha wenu. Huyu mama anafanya hayo kwa pesa ya mkopo. Mkopo tunalipa sote. We kwa ujuha wako unamsifia yeye
Shetani wewe
 
Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Lakini Magufuli alikopa 31 Trillion just in 5 years compare na 57 years toka Nyerere hadi Kikwete wamekopa below 47 Trillion shs.
 
Ma trillion ya beberu kwa ajili ya kupambana na covid Amalizie kipindi chake akae bench,yatosha experience aliyopata.
 
Bado saaana kutambua shida wapatayo wananchi na mahitaji yetu ya msingi na kipaumbele katika huduma ya Afyaaa.
Ni watu wangapi wananufaika na ambulance kati ya watu milioni karibu sitini? Gharama ya ambulance hizo zingetosha kuikoa maisha ya wananchi wangapi wanaokufa kwa kukosa dawa na mahitaji ya msingi katika Zahanati zetu vijijini ambako watu wa Hali ya chini wanaishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…