Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
It might be Transparency at its best, my gesture though, I have got nothing to compile as a supportive reference.jibu hoja nimekuuliza why now??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It might be Transparency at its best, my gesture though, I have got nothing to compile as a supportive reference.jibu hoja nimekuuliza why now??
Mradi tu zisitumike na waganga wakuu kama gari binafisi kuhudumia familia zao.Mtakumbuka awamu ya tano ya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli tulifanikiwa kununua jumla ya ambulance 117,awamu hii ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan tumeagiza ambulance brand new 395 || Kaziindelee
" Hakuna kama Samia "
Rais mpole na mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan,Rais anayethamini na kulinda Utu na Uhai wa Watanzania wote bila kujali dini,kabila,rangi wala kanda kwa kutumia Economic Stimulus relief fund toka IMF ameagiza zinunuliwe Jumla ya Toyota Land cruiser ambulance mpya 395 pamoja na magari mapya 214 kwaajili ya Chanjo aina zote 15 ikiwemo chanjo ya Corona,Hakika kumbeza Rais Samia nikujitafutia laana za bure kwa Mungu.
Mtakumbuka awamu yetu ya tano katika kutekeleza Ilani ya CCM tulifanikiwa kununua Toyota Land cruiser ambulance mpya 117 na hapa tuendelee kumuenzi na kumwombea pumziko jema Mwanamwema wa Africa Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri alizozifanya kwenye sekta hii ya afya nchini,
Kwakuwa Tanzania tuna jumla ya Wilaya 139 na zote zina hospitali za Wilaya baada ya hizi ambulance kufika kila Hospitali ya wilaya itapata ambulance mpya ( brand new) kwaajili ya kunusu roho za Watanzania hawa masikini kwa kuwakimbiza kwenye hospitali za juu yao ( referral hospitals )
Kwakuwa Tanzania pia tuna jumla ya Halmashauri 184 ikiwemo Ushetu tulikoshinda kiti cha Ubunge kwa kishindo majuzi kwa hesabu hii ya ambulance 395 kila halmashauri itapata ambulance mpya kwaajili ya kuhudumia ama za Kituoa cha afya ama Zahanati zao kwaajili ya rufaa za wagonjwa wao kwenye hospitali za Wilaya, Watu wa Idara ya afya tunzeni sana mali hizi,
Ambulance hizi 395 ni mara tatu zaidi ya ambulance zote 117 zilizonunuliwa kwa miaka mitano yote ya awamu ya tano ,kwa wenye kumbukumbu nzuri mtakubaliana na mimi kuwa jambo hili halijawahi kutokea katika historia ya nchi hii, " kama kuna mtu wa kumwombea kwa nguvu zote kwa sasa basi ni Rais Samia Suluhu Hassan "
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Nakuona mrembo wa Mama Samia
Nani alikudanganya ?!. Awamu ambayo deni la taifa lime double, ni awamu ya 5 ya Maghufuli.Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Ime-double, figure ilitoka ngapi na kufika ngapiNani alikudanganya ?!. Awamu ambayo deni la taifa lime double, ni awamu ya 5 ya Maghufuli.
Acha zile propaganda za Jiwe jukwaani
Hakuna kitu anajua huyu,Ime-double, figure ilitoka ngapi na kufika ngapi
Tuwekee kiasi
😍😍😍Nani alikudanganya ?!. Awamu ambayo deni la taifa lime double, ni awamu ya 5 ya Maghufuli.
Acha zile propaganda za Jiwe jukwaani
Upo mama?Nimejaa tele mtoto wa mama wa kwanza wa taifa
Mungu amlinde mama yetu😍
Uko sahihi kabisa mkuu,Mradi tu zisitumike na waganga wakuu kama gari binafisi kuhudumia familia zao.
Polepole wataelewa tuKuna wapuuzi hapa hawajui kama magufuli alikopa mamilioni ya dola kutoka huko nje kujengea standard gauge na bwawa la mwalimu Nyerere.
DefinitelyIt might be Transparency at its best, my gesture though, I have got nothing to compile as a supportive reference.
Mimi nilishajitoa muhanga kwangu dua na Samia mpaka 2030 nchi itakuwa imengaTunakuelewa vizuri sana.Na maendeleo tunayaona.Endelea kutujuza.
UongoYaani Ccm wamekosa muelekeo. Wapo kama kuku wa mganga. Akisha mkata kichwa humuacha arukeruke hadi akate roho....
Tuambieni kwanza vile Vituo vya afya 400 mlivyojenga vipo wapi???? Acheni ujuha wenu. Huyu mama anafanya hayo kwa pesa ya mkopo. Mkopo tunalipa sote. We kwa ujuha wako unamsifia yeyeMkuu wewe umesoma chuo gani kama hujui faida ya "Comparative advantage,"
View attachment 1971970
Anaposema pesa ya dawa imeongezeka toka Tshs 31BL 2015 hadi 270BL 2020 hii sio rekodi,
Chadema acheni uchonganishi
Lakini Magufuli alikopa 31 Trillion just in 5 years compare na 57 years toka Nyerere hadi Kikwete wamekopa below 47 Trillion shs.Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Amalizie kipindi chake akae bench,yatosha experience aliyopata.Mtakumbuka awamu ya tano ya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli tulifanikiwa kununua jumla ya ambulance 117,awamu hii ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan tumeagiza ambulance brand new 395 || Kaziindelee
" Hakuna kama Samia "
Rais mpole na mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan,Rais anayethamini na kulinda Utu na Uhai wa Watanzania wote bila kujali dini,kabila,rangi wala kanda kwa kutumia Economic Stimulus relief fund toka IMF ameagiza zinunuliwe Jumla ya Toyota Land cruiser ambulance mpya 395 pamoja na magari mapya 214 kwaajili ya Chanjo aina zote 15 ikiwemo chanjo ya Corona,Hakika kumbeza Rais Samia nikujitafutia laana za bure kwa Mungu.
Mtakumbuka awamu yetu ya tano katika kutekeleza Ilani ya CCM tulifanikiwa kununua Toyota Land cruiser ambulance mpya 117 na hapa tuendelee kumuenzi na kumwombea pumziko jema Mwanamwema wa Africa Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri alizozifanya kwenye sekta hii ya afya nchini,
Kwakuwa Tanzania tuna jumla ya Wilaya 139 na zote zina hospitali za Wilaya baada ya hizi ambulance kufika kila Hospitali ya wilaya itapata ambulance mpya ( brand new) kwaajili ya kunusu roho za Watanzania hawa masikini kwa kuwakimbiza kwenye hospitali za juu yao ( referral hospitals )
Kwakuwa Tanzania pia tuna jumla ya Halmashauri 184 ikiwemo Ushetu tulikoshinda kiti cha Ubunge kwa kishindo majuzi kwa hesabu hii ya ambulance 395 kila halmashauri itapata ambulance mpya kwaajili ya kuhudumia ama za Kituoa cha afya ama Zahanati zao kwaajili ya rufaa za wagonjwa wao kwenye hospitali za Wilaya, Watu wa Idara ya afya tunzeni sana mali hizi,
Ambulance hizi 395 ni mara tatu zaidi ya ambulance zote 117 zilizonunuliwa kwa miaka mitano yote ya awamu ya tano ,kwa wenye kumbukumbu nzuri mtakubaliana na mimi kuwa jambo hili halijawahi kutokea katika historia ya nchi hii, " kama kuna mtu wa kumwombea kwa nguvu zote kwa sasa basi ni Rais Samia Suluhu Hassan "
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Bado saaana kutambua shida wapatayo wananchi na mahitaji yetu ya msingi na kipaumbele katika huduma ya Afyaaa.Mtakumbuka awamu ya tano ya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli tulifanikiwa kununua jumla ya ambulance 117,awamu hii ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan tumeagiza ambulance brand new 395 || Kaziindelee
" Hakuna kama Samia "
Rais mpole na mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan,Rais anayethamini na kulinda Utu na Uhai wa Watanzania wote bila kujali dini,kabila,rangi wala kanda kwa kutumia Economic Stimulus relief fund toka IMF ameagiza zinunuliwe Jumla ya Toyota Land cruiser ambulance mpya 395 pamoja na magari mapya 214 kwaajili ya Chanjo aina zote 15 ikiwemo chanjo ya Corona,Hakika kumbeza Rais Samia nikujitafutia laana za bure kwa Mungu.
Mtakumbuka awamu yetu ya tano katika kutekeleza Ilani ya CCM tulifanikiwa kununua Toyota Land cruiser ambulance mpya 117 na hapa tuendelee kumuenzi na kumwombea pumziko jema Mwanamwema wa Africa Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri alizozifanya kwenye sekta hii ya afya nchini,
Kwakuwa Tanzania tuna jumla ya Wilaya 139 na zote zina hospitali za Wilaya baada ya hizi ambulance kufika kila Hospitali ya wilaya itapata ambulance mpya ( brand new) kwaajili ya kunusu roho za Watanzania hawa masikini kwa kuwakimbiza kwenye hospitali za juu yao ( referral hospitals )
Kwakuwa Tanzania pia tuna jumla ya Halmashauri 184 ikiwemo Ushetu tulikoshinda kiti cha Ubunge kwa kishindo majuzi kwa hesabu hii ya ambulance 395 kila halmashauri itapata ambulance mpya kwaajili ya kuhudumia ama za Kituoa cha afya ama Zahanati zao kwaajili ya rufaa za wagonjwa wao kwenye hospitali za Wilaya, Watu wa Idara ya afya tunzeni sana mali hizi,
Ambulance hizi 395 ni mara tatu zaidi ya ambulance zote 117 zilizonunuliwa kwa miaka mitano yote ya awamu ya tano ,kwa wenye kumbukumbu nzuri mtakubaliana na mimi kuwa jambo hili halijawahi kutokea katika historia ya nchi hii, " kama kuna mtu wa kumwombea kwa nguvu zote kwa sasa basi ni Rais Samia Suluhu Hassan "
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Hapana,Kwa nini unahitaji ambulance kwa ajili ya chanjo?