imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sasa ni kwanini mnaua wapinzani?Hakuna ukweli uliozungumzia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ni kwanini mnaua wapinzani?Hakuna ukweli uliozungumzia.
Au siyo? 🤣🤣Siku akitekekwa mwenyewe na kupotezwa ndio mtajua ni Rais mbovu kuwai kutawala Tanzania
Kina nani ambao hawaibiwi na wamepewa alama F?Sasa waliotupa alama B si ndio wanaotuibia Uliona tumepewa na wajeruman ama wachina alama B tumia ELIMU Yako vizuri nchi inadawaiwa pesa mingi ww unaendeleaj kupotosha vijana
Kivipi?Hata kama unanufaika na mfumo wa sasa basi jaribu kuwa na utulivu, hii kazi uliyo pewa inadhalilisha utu wako. Amka muafrika achilia huo ujinga uende zake.
Sasa kama watu wanafisadi bila kushikwa mikono namba E zitapunguaje!? Sahizi watu wananunua gari za mabilion sababu mianya ya upigaji iko wazi.Kwenye masuala ya Uchumi,Samia hajawahi kuwa na shoo mbovu.
Angalia tuu mtaani namba E ni nyingi kuliko nambaz zingine
Na wewe nunua hata namba ya viatu.Sasa kama watu wanafisadi bila kushikwa mikono namba E zitapunguaje!? Sahizi watu wananunua gari za mabilion sababu mianya ya upigaji iko wazi.
😂😂😂😂😂😂Na wewe nunua hata namba ya viatu.
Mama mitano TenaNdugu zangu Watanzania,
DUNIA inaendelea kuchangazwa na Maajabu yanayoendelea kufanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika kukuza na kuupaisha Uchumi wa Tanzania utafikiri ndege za kivita.
Rais Samia anaendelea kuteka hisia za wachumi wengi Duniani kwote namna alivyo simamia ukuaji wa uchumi Nchini kwa kuweka sera nzuri za kifedha na uchumi zilizovutia kama sumaku uwekezaji mkubwa wa mitaji hapa Nchini.
Embu soma taarifa hii hapa chini niliyochukua huko👎
Ripoti ya Uchumi Duniani, Yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia, ripoti ya Fitch Ratings imeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR).
Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Sera nzuri za kifedha na kiuchumi za serikali ya Rais Samia zimeiongoza nchi kuelekea ustahimilivu na ukuaji, hata katikati ya changamoto za kiuchumi duniani.
Kuimarisha Ukuaji wa Kiuchumi
Chini ya uongozi wa Rais Samia, ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) wa Tanzania unatarajiwa kufikia asilimia 5.4 mwaka 2024 na asilimia 5.9 mwaka 2025, ukipita wastani wa nchi nyingine zenye alama sawa.
Mafanikio haya ni matokeo ya moja kwa moja ya uwekezaji wa kimkakati wa serikali yake katika miradi ya miundombinu yenye mabadiliko makubwa, kama vile Reli ya Kisasa (SGR) na Mradi wa Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere.
Miradi hii inaonyesha dhamira ya rais ya kuboresha uchumi, kuunda nafasi za ajira, na kuhakikisha maendeleo endelevu.
Msisitizo wa Rais Samia katika kufufua sekta muhimu kama kilimo, madini, na utalii umechangia kwa kiasi kikubwa katika kuimarika kwa uchumi wa Tanzania.
Msaada wa serikali yake kwa miradi mikubwa si tu umevutia uwekezaji wa kigeni bali pia umefungua uwezo wa muda mrefu wa ukuaji wa nchi.
Kudhibiti Mfumuko wa Bei na Kustawisha Uchumi, Serikali ya Rais Samia imefanikiwa kudumisha mfumuko wa bei chini ya lengo la asilimia 5 la Benki Kuu ya Tanzania, kwa wastani wa asilimia 3.1 katika robo ya tatu ya mwaka 2024.
Mafanikio haya ni matokeo ya juhudi za serikali kuhakikisha usalama wa chakula kupitia sera bora za kilimo na usambazaji wa pembejeo kwa ufanisi.
Mabadiliko ya mfumo wa sera za kifedha kuelekea matumizi ya viwango vya riba kama kipimo kikuu ni hatua nyingine muhimu, ambayo imeimarisha ufanisi wa sera za Benki Kuu.
Mageuzi haya yanaonyesha dhamira ya serikali ya Rais Samia ya kudumisha uthabiti wa kiuchumi na kuimarisha imani ya wawekezaji.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni mitano ya kishindooMama mitano Tena
Na wewe piga ununue kama unaona mianya Kwa nini hupigi unakuja kulalamika mitandaoni? Huna akiliSasa kama watu wanafisadi bila kushikwa mikono namba E zitapunguaje!? Sahizi watu wananunua gari za mabilion sababu mianya ya upigaji iko wazi.
Amepewa pikipiki ya mama SSH no MC 398 EFJHata kama unanufaika na mfumo wa sasa basi jaribu kuwa na utulivu, hii kazi uliyo pewa inadhalilisha utu wako. Amka muafrika achilia huo ujinga uende zake.
Kwani Zanzibar siyo Tanzania? Huna akili kabisa wewe😀😀UWT sijui kama kuna siku mtabadilika kwa upumbavu wenu huu, mtaendelea kutumika huku wazanzibar wanabeba mali na kwenda kuijenga Zanzibar yao. Shame on you
Nenda kanunue ardhi kule unadhani na Zanzibar nako ni IlejeKwani Zanzibar siyo Tanzania? Huna akili kabisa wewe😀😀
Sasa usimwage povu Kwa wanaotegemea hivyo.Kumala mamaako, mi sitegemei wizi kuishi wala kulama matako watu.
KakaKumala mamaako, mi sitegemei wizi kuishi wala kulama matako watu.
Mtu mjinga kabisa huyoKaka
Mtu mjinga kabisa huyo