peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Wote wanaoapishwa Leo wanasali juma ngapiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
Mama'e mmebakia kupinga pinga Hadi upuuzi,Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Elimu yako tafadhaliMama'e mmebakia kupinga pinga Hadi upuuzi,
We unajua ratiba zake Rais zipoje?! Kwani umeambiwa uko dodoma kaenda kwa shuhuri iyo moja tu ya kuwaapisha hao?? Rais ana ratiba nyingi, zingine we kikojozi wa kitandani uwezi kuziona kwenye TV, uwezi jua labda ana kikao dodoma Cha baraza la usalama wa Taifa,na mengineyo ambayo hayawezi kurushwa hewani
Inakupa faraja? Wakati uhalisia wa mtaani ni tofauti kabisa. Pita hospital yoyoted dsm niambie watu wanofika hapo kama wanavaa barakoa..hapo sijaongelea vyombo vya usafiri, taasisi za elimu, viwanja vya michezo, masoko na nkFull Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Mkuu haya majitu jamii ya GENTAMYCINE ni majinga sana na minafiki isiyo na akili,Inawezekana atakuwa Dodoma kwa majukumu mengine ya kiserikali.
Aliyatafuta mwenyeweUjinga ujinga tu huwezi kucoment bila kumtaja JPM
Kuna mkopo anabembelezaInakupa faraja? Wakati uhalisia wa mtaani ni tofauti kabisa. Pita hospital yoyoted dsm niambie watu wanofika hapo kama wanavaa barakoa..hapo sijaongelea vyombo vya usafiri, taasisi za elimu, viwanja vya michezo, masoko na nk
Lakini tunaelekea kwenye full BarakoaInakupa faraja? Wakati uhalisia wa mtaani ni tofauti kabisa. Pita hospital yoyoted dsm niambie watu wanofika hapo kama wanavaa barakoa..hapo sijaongelea vyombo vya usafiri, taasisi za elimu, viwanja vya michezo, masoko na nk
Elimu yako tafadhali
Nimesoma na bash'a wako,kamuulize atakuambia elimu yangu pimbi weweElimu yako tafadhali
Tinasubiri yule wa mirembe atangulie kwanzaLakini tunaelekea kwenye full Barakoa
Shetani anamjua Ibilisi mwenzake kwani wanakaa sehemu moja! Hongera!Full Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Unaweza mpeleka ng'ombe mtoni ila huwezi mlazimisha ng'ombe kunywa maji. Watu wanajitambuaLakini tunaelekea kwenye full Barakoa
Std 7Nimesoma na bash'a wako,kamuulize atakuambia elimu yangu pimbi wewe
Kafie mbele.Bado wewe
is okay Kama amekuambia ivyo, msalimieStd 7
Kwa hiyo unataka kusema.Unaweza mpeleka ng'ombe mtoni ila huwezi mlazimisha ng'ombe kunywa maji. Watu wanajitambua
Ujuaji mwingi mbele GizaKwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Kwamba utamaduni wa barakoa kwetu haujakomaa...or rather watu hawazitakiKwa hiyo unataka kusema.
Hitler,Bokassa,Iddi Amini..wanasemwa uchungu waliosabashia Binadamu kwanini isiwe Dikteta Magufuli?Hope wewe ni malaika alietumwa na Mungu kuja kuhukumu watu hata walio wafu,na ni imani yangu utaishi milele hapa duniani,roho mbaya si mtaji utakaokupa ridhiki,kutukana au kumtukana mtu haikuongezei chochote,jijengee tabia ya kusahau au kusamehe hata kama mwanadamu kakukosea vipi hapa duniani kwani sisi si chochote wala lolote hapa duniani.
Sio hawazitaki Watu waliambiwa kuwa zimetiwa Sumu na Mabeberu sasa itabidi zitungiwe Sheria ndogo kama Kenya.or rather watu hawazitaki