Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Shujaa wa AfricaFull Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shujaa wa AfricaFull Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Alienda akakuta Kaburi la mheshimiwa mungu limejaa mataka taka kibaoIle ndege anayotumia ni kubwa sana na sielewi wanakodisha au ndio yaleyale ya shamba la bwana heri?
Namna hii shirika la ATCL haliwezi kurekodi faida hata kidogo sababu mama anatumia ndege kwa gharama zipi? Kama ni za ATCL aisee lile dude ni kubwa sana kupanda yeye na watu wake kadhaa u less wanakodisha na wanakupa hizo fedha.
Lakini tujiulize kwa nini apande lindege likubwa vile ndege ya abiria zaidi ya 180 anapanda yeye na mashosti zake kadhaa? Ndege ya Rais ipo wapi na inafanya nini? Ina maana tunawalipa pilots wa Rais bure? Tunawalipa engineer wa Ile ndege bure? Inakaa bure tu kwa nini? Why kutumia ndege inayofanya biashara kwenye misele yake binafsi?
ATCL inalaumiwa bure tu, Kassim Majaliwa anaitumia, yule Makamu wa Rais hata akienda kusalimia kaburi la Mungu wake anaitumia, what is this ndugu zangu?
Na limezungushiwa mabati kama kibanda cha kuku.Alienda akakuta Kaburi la mheshimiwa mungu limejaa mataka taka kibao
Dodoma ndio ofisini.Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
na hilo ni tatizo la mama, inaonesha hawezi kuongoza vizuri......!! waliokua na matumaini na huyu mama nawaonea huruma sana!Ile ndege anayotumia ni kubwa sana na sielewi wanakodisha au ndio yaleyale ya shamba la bwana heri?
Namna hii shirika la ATCL haliwezi kurekodi faida hata kidogo sababu mama anatumia ndege kwa gharama zipi? Kama ni za ATCL aisee lile dude ni kubwa sana kupanda yeye na watu wake kadhaa u less wanakodisha na wanakupa hizo fedha.
Lakini tujiulize kwa nini apande lindege likubwa vile ndege ya abiria zaidi ya 180 anapanda yeye na mashosti zake kadhaa? Ndege ya Rais ipo wapi na inafanya nini? Ina maana tunawalipa pilots wa Rais bure? Tunawalipa engineer wa Ile ndege bure? Inakaa bure tu kwa nini? Why kutumia ndege inayofanya biashara kwenye misele yake binafsi?
ATCL inalaumiwa bure tu, Kassim Majaliwa anaitumia, yule Makamu wa Rais hata akienda kusalimia kaburi la Mungu wake anaitumia, what is this ndugu zangu?
Ili mkopo utolewe na IMF. Barakoa lazima tuzivaeFull Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Ila wewe jamaa hujawahi kuwa na hoja zaidi ya matusi.I guess una matatizo makubwa ya kisaikolojia.
Unawaonea huruma kwani ni rais wao peke yao?na hilo ni tatizo la mama, inaonesha hawezi kuongoza vizuri......!! waliokua na matumaini na huyu mama nawaonea huruma sana!
Nasikia Shangazi Fatuma Karume karejeshewa uwakili wake na mahakama kuu...SSH💪
Yaani nikimkumbuka Kijazi ninasikitika mno mno. Hivi Mzee wetu Mkapa alikufakufaje? Maana mpaka Leo hii hatukuelezwa vizuri. Like kitu lilikuwa haramu kabisa.Full Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
Kwani barakoa inazuia vifo, kama wazee walikuwa wanakufa ulitumia jitihada gani kuzuia wasife maana inaonekana unajua kinga ya vifoFull Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
JPM hajawahi kukataa uvaaji wa barakoa na hajawahi kukana uwepo wa korona, tafuta hotuba yake ya mwisho utaelewaJPM akafufuka Leo, akaona hiyo picha ya aliyevaa barakoa atadondoka chini.
Mkuu hamia Facebook huku utajiumiza bureWanasema mdomo huumba, bahati mbaya kutambua hivyo ni mpaka uwe na busara za kutosha.
Humu jukwaani utoto ni mwingi sana.
Upumbavu ni kusoma udikteta wa hitla ambao hausaidii chochote. Mimi kwa upande wangu naona Hitler anauzuri wake mwingi tu wa kutusababishia tukapata uhuru japo wa benderaHitler,Bokassa,Iddi Amini..wanasemwa uchungu waliosabashia Binadamu kwanini isiwe Dikteta Magufuli?
Mbona kuvaa kondom hawalazimishi kwanini walazimishe barakoaSio hawazitaki Watu waliambiwa kuwa zimetiwa Sumu na Mabeberu sasa itabidi zitungiwe Sheria ndogo kama Kenya.
Tutawavumilia tu mkuu, vipo vichwa humu vinavyofidia ujinga wote wa hao watoto.Mkuu hamia Facebook huku utajiumiza bure
Wapi kamtaja JPM?Ujinga ujinga tu huwezi kucoment bila kumtaja JPM
Nasikia Shangazi Fatuma Karume karejeshewa uwakili wake na mahakama kuu...
Mama anaucheza mwingi kama Clatous Chama pale Msimbazi...
We bwege Ni much know sana, kesho Rais ana kikao Cha kamati kuu ya chama ndiomaana ameenda dodomaKwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Serikali inafukuzia mkwanja wa IMF sio bure Mama kuvaa barakoa inayomfanya apumue kwa taabu.Ili mkopo utolewe na IMF. Barakoa lazima tuzivae