Rais Samia awaapisha Balozi Batilda kuwa RC Tabora na Zuwena Omari kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga

Alienda akakuta Kaburi la mheshimiwa mungu limejaa mataka taka kibao
 
Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
Dodoma ndio ofisini.
 
na hilo ni tatizo la mama, inaonesha hawezi kuongoza vizuri......!! waliokua na matumaini na huyu mama nawaonea huruma sana!
 
Full Barakoa, sio kama zile enzi za Ibilisi aliemaliza Wazee wetu.
Yaani nikimkumbuka Kijazi ninasikitika mno mno. Hivi Mzee wetu Mkapa alikufakufaje? Maana mpaka Leo hii hatukuelezwa vizuri. Like kitu lilikuwa haramu kabisa.
 
Hitler,Bokassa,Iddi Amini..wanasemwa uchungu waliosabashia Binadamu kwanini isiwe Dikteta Magufuli?
Upumbavu ni kusoma udikteta wa hitla ambao hausaidii chochote. Mimi kwa upande wangu naona Hitler anauzuri wake mwingi tu wa kutusababishia tukapata uhuru japo wa bendera

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Nasikia Shangazi Fatuma Karume karejeshewa uwakili wake na mahakama kuu...

Mama anaucheza mwingi kama Clatous Chama pale Msimbazi...

Nakumbuka kama Shangazi alisema hakukubaliana na maamuzi

Online bado anaonekana kuwekewa kufuli hadi sasahivi, ila inawezekana wameshahitimisha maneno yao wataliondoa tuu


Ila amepoaa sana shangazi.

Kimyaaaa
 
Kwahiyo kachoma Mafuta ya Ndege jana kwenda Dodoma ili 'Kuwaapisha' tu hawa? Kwanini ili Kuokoa Pesa za Walalahoi ( Watanzania ) hawa 'Walioapishwa' wao ndiyo wasingekuja Dar es Salaam na Gari zao ili waapishwe?
We bwege Ni much know sana, kesho Rais ana kikao Cha kamati kuu ya chama ndiomaana ameenda dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…