Rais Samia awaapisha Mawaziri Mhagama na Simbachawene, Ikulu Dar es salaam

Rais Samia awaapisha Mawaziri Mhagama na Simbachawene, Ikulu Dar es salaam

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
IMG_6572.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Aprili, 2023.

IMG_6574.jpeg
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Mhe. George Simbachawene wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Aprili, 2023.

IMG_6575.jpeg
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Mhe. George Simbachawene, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Aprili, 2023.
 
View attachment 2573823
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Aprili, 2023.

View attachment 2573824Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Mhe. George Simbachawene wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Aprili, 2023.

View attachment 2573827Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Mhe. George Simbachawene, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Aprili, 2023.
Tuna uhaba wa viongozi ndo maana kila siku wanatolewa hapa wanapelekwa pale.

Mwisho kabisa tutaazima viongozi kutoka nchi jirani
 
Jenista kila anapowekwa anavurunda, ila still anabadilishwa wizara kila kukichaa,

Mganga wake ni kibokoooo wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati mbaya sana Hangaya kakosa mvuto

NImeacha kabisa kufuatilia live events zake. Inapofikia hata tuliyempa tools zote za kuendesha nchi analalamika basi tukae kwa kutulia tusubiri labda tutaokota dodo kwenye mkomamanga

Akose mvuto asikose. Wote hatuwez kuwa na mtazamo mmoja. Bahati mbaya ni kuwa ni rais wa nchi so nothing will change
 
Jenista kila anapowekwa anavurunda, ila still anabadilishwa wizara kila kukichaa,

Mganga wake ni kibokoooo wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mganga wa jenista mhagama si wa nchi hii atakuwa mchina,Mana tangu nianze kufuatilia Mambo ya serikali huyu mwanamke yumo tuu na siyonagi anachofanya Cha maana.
 
Back
Top Bottom