Rais Samia awaapisha Mawaziri Mhagama na Simbachawene, Ikulu Dar es salaam

Rais Samia awaapisha Mawaziri Mhagama na Simbachawene, Ikulu Dar es salaam

Hii nchi kuendelea inavyostahili ningumu sana tunazungushwa na viongo ziii kwenye tope lilelile la umaskini ni tairi la kushoto laletwa kulia mara liende mbele...hatutoki mpaka akili na ghadhabu vikutane!! Na hii elimu yetu yakukariri ujinga ndo unatuzidi keeleeeuuuuuuwiiiii!!!!
 
Hivi huyo Mhagama ana potential gani kwenye nchi hii yeye ni kuzunguka wizara moja baada ya nyingine .Akiproove failure kwenye wizara fulani hawezi kuwekwa back bencher ajifunze?Enzi za Mkapa yupo! enzi za Kikwete yupo!enzi za Magu yupo!Mpaka sasa yupoo!
 
Mganga wa jenista mhagama si wa nchi hii atakuwa mchina,Mana tangu nianze kufuatilia Mambo ya serikali huyu mwanamke yumo tuu na siyonagi anachofanya Cha maana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli, uwiiiiiih
Huyu mama khaaaa,
 
Hayo manywele bandia ya mhagama kwanini asiachane nayo tu?
Tax
Doroth
Akson
Mbona wapo fresh tu bila hayo makatani?
 
Bahati mbaya sana Hangaya kakosa mvuto


NImeacha kabisa kufuatilia live events zake. Inapofikia hata tuliyempa tools zote za kuendesha nchi analalamika basi tukae kwa kutulia tusubiri labda tutaokota dodo kwenye mkomamanga
Mbowe hajawashughulikia viongozi wa Chadema waliopeleka majina ya COVID 19 bungeni
 
Hayo manywele bandia ya mhagama kwanini asiachane nayo tu?
Tax
Doroth
Akson
Mbona wapo fresh tu bila hayo makatani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaficha kipara.
Angejua kuna Wanaume tunapenda vipara vya Wanawake angaachana na hayo Makatani na ajaribu kua OG, au mfundishe kupiga Shungi Kama lako atapendeza pia kuliko hizo katani kichwani mwake!!
 
Angejua kuna Wanaume tunapenda vipara vya Wanawake angaachana na hayo Makatani na ajaribu kua OG, au mfundishe kupiga Shungi Kama lako atapendeza pia kuliko hizo katani kichwani mwake!!
Dirty mind.
 
Hayo manywele bandia hayapendezi , au angetafuta mazuri ambayo mtu unaweza ukasema ni zake kabisa
 
Safi sana mkapige kazi sasa.inchi isonge mbele
 
Back
Top Bottom