Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Uko makini sana it was too local for a state house
 
Ndio mara yk ya kwanza mkuu kusikiaa sauti ya pakaa??? ,mpk uje ushangaee akiliaa wkt rais anahutubiaa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Tuna deal na vitu Petty Petty tu. (In Waitara's Voice)
 
Sasa mkuu paka si wapo tu wakiamua kupiga kelele wanapiga tu huku kwetu wanatusumbua zaidi usiku wakianza tu tunatafuta mijiwe tunawapopoa tu
 
Aisee hukuona na mapanya??

Maana mapaka yanakuwepo kwa ajili ya mapanya.

Au mapanya yapo likizo.
 
Wale sio paka, ni tsusi ambao wako Ikulu miaka mingi toka Awamu ya kwanza.
 
Na mazombi yapo hadi leo.
 
Kwanin kampamba kupita kiasi??
 
Wazanzibari wana uzuri gani wakati kwa wanaibiana kura kwenye uchaguzi. Umesahau Jecha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…