Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Utakuwa hujui uongozi wa hapo wewe. Sasa hivi itabidi Katanga awe anareport kwa Kusiluka.
Katanga ana report kwa Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje. Kusiluka ndiye Bosi wa Makatibu Wakuu Wote. Pia ndiye Katibu wa Baraza la Mawaziri. Pia ndiye katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa (Mwenyekiti ni Rais).

Heshimuni nafasi ya CS (Chief Secretary).
 
Toka maktaba

04 November 2020
Dodoma, Tanzania


Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania


Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania, wakijadiliana jambo walipofika kukagua maandalizi ya eneo la atakakoapishwa kRais Mteule wa Tanzania Dk. John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Commisioner of Police Diwani Athuman, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

08 Julai 2022
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini jana Julai 8, 2022 wamemtembelea Mkuu wa Majeshi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi, Upanga jijini Dar es salaam.
IMG_20220709_144633-1024x507.jpg




1672777058745.png

From top left Clockwise: H.E President John Pombe Joseph Magufuli, Commissioner of Police Diwani Athumani director General Tanzania Intelligence Security Services , Inspector General of Police Simon Sirro and General Venance Mabeyo chief of Defence Forces.

04 January 2023

Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has lifted a six-year ban on political rallies imposed by her hard-line predecessor, John Magufuli.

Her decision is part of her 4Rs initiative - Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding.

She acknowledged parties had the right to hold rallies but she urged them to be "civil" and not to "trade insults"

Mr Magufuli had banned rallies in between elections in what was seen as an attempt to weaken the opposition.

He dismissed rallies as a waste of time and money, and said they detracted from the key challenge of building the economy.

Mrs Samia announced the reversal of his policy at a meeting with opposition politicians.

"Our duty as a government will be offering protection for the rallies," she said.

The chairman of the main opposition Chadema party, Freeman Mbowe, said he welcomed the announcement.
"The move is first of all a return to a right guaranteed in the constitution and our laws," he added.

Mr Mbowe spent seven months in prison, before the prosecution dropped charges of terrorism against him in March 2022.
His arrest had raised doubts about Mrs Samia's commitment to reforms after she became president following Mr Magufuli's death in 2021.

Another opposition politician, Zito Kabwe, told AFP news agency that the president's decision to lift the ban was a "big move".
"This is the right that was snatched by the state through an illegal presidential decree," he added.
Source : BBC News
 
FOREIGN Minister Mulamula aliambiwa hatii mamlaka. Sasa UN ambassador anaambiwa hana hekima ya utulivu na busara.

Rais anatafuta ma "Yes-Man" diplomats watakao rubber stamp kila agenda zake na wazungu bila kuchambua masilahi mapana ya nchi. Na ni kwa vile uchambuzi huo yeye hauwezi kuufanya au haoni umuhimu wake.
 
Nadhani immediate Boss wa Mabalozi ni Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje,ambaye Katibu Mkuu Kiongozi ndie Kiongozi wake...so...ingekua ni ligi ya soka,jamaa kashuka kutoka Daraja la kwanza hadi la tatu...but it is all semantics...yeye na Bashiru bado salary slips zao zinaweza zikawa sawa...
Hapo umenena kweli. Ni semantics tu. Wote hao ni wateule wa Rais katika ngazi za juu kabisa. Balozi hata kama yuko chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ni mwakilishi wa Rais kwenye nchi husika kama vile Mkuu wa Mkoa ambavyo yuko chini ya Wizara ya Tamisemi lakini ni mteule na mwakilishi wa Rais kama alivyo waziri wake. Na Katibu Mkuu yo yote pia ni nafasi ya utendaji ya juu katika Wizara husika na ana nafasi katika uendeshaji wa Serikali kitaifa kupitia vikao husika. Ni semantics tu na mpangilio wa utawala. Nawatakia wote utendaji mwema.
 
Tiss wanashindwa kunusa mfumuko wa bei, haiwezekani tukaishi maisha ya namna hii kila kitu bei juu hadi nyembe tutashindwa kunyoa hata zivu
 
KWAHABARII HII MABALOZI MJIANDAE MDA WOWOTE KUREJEA
Kadadakangu mmekasema sijui katapojaa wallaj
 
Toka maktaba

04 November 2020
Dodoma, Tanzania


Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania


Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania, wakijadiliana jambo walipofika kukagua maandalizi ya eneo la atakakoapishwa kRais Mteule wa Tanzania Dk. John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Commisioner of Police Diwani Athuman, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

08 Julai 2022
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini jana Julai 8, 2022 wamemtembelea Mkuu wa Majeshi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi, Upanga jijini Dar es salaam.
IMG_20220709_144633-1024x507.jpg




View attachment 2468306
From top left Clockwise: H.E President John Pombe Joseph Magufuli, Commissioner of Police Diwani Athumani director General Tanzania Intelligence Security Services , Inspector General of Police Simon Sirro and General Venance Mabeyo chief of Defence Forces

Je ? Tutapa majibu ya baadhi ya maswali yaliyoandama vyombo vinavyohusika na dhamana ya kutambua waliohusika na kupanga, kutekekeza shambulio dhidi ya mbunge Tundu Lisssu ?

1672778430495.png



SEPTEMBER 07 2017
Dodoma, Tanzania

Opposition lawmaker Tundu Lissu was shot and seriously wounded by unknown assailants as he arrived at his Dodoma home after attending Parliament’s morning session.

The Singida East MP was shot as he was about to disembark from his car in the municipality’s leafy Area D suburb.

His attackers sprayed the front passenger door of his black Toyota Land Cruiser with bullets after Mr Lissu apparently hesitated to alight from the vehicle.

This reporter counted at least 18 bullet holes on the door and its closed window. There were also bullet holes on the rear door and one of the tyres was shot out.
Thinking that they had killed the lawmakers, the gunmen, who were in a car with heavily tinted windows, sped away from the scene.
 
Tiss wanashindwa kunusa mfumuko wa bei, haiwezekani tukaishi maisha ya namna hii kila kitu bei juu hadi nyembe tutashindwa kunyoa hata zivu
Umeme shida, chakula hakikamatiki, ndege zinaharibika na kusumbua, mara hela ya umma inapigwa...what the hell are these guys doing?
Maana hakuna kitu kibaya kama kashfa zisizo na sababu ndani ya uongozi. Kuna wakati najiuliza..hivi tumefikia level hii ya incompetence? Things are just falling apart, with no one takes care?
 
Habari zenu Taifa la Mungu?

Leo wakati Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Dr. Samia Suluhu Hassan) akihutubia viongozi wa vyama vya Siasa na Watu mbalimbali kuna wakati ilisikika sauti ya Paka wakilia.

Sauti hizi zilisikika wakati Mh. Raisi alipokuwa akitaja mabadiliko aliyoyafanya kwa nafasi mbalimbali ili kuboresha ufanisi wa Serikali.

Binafsi sauti zile zilipunguza kwa Kiasi umakini wangu kwa kusikiliza sauti za Paka badala ya Ujumbe wa Mh. Raisi hali iliyonifanya kurudia kusikiliza Ujumbe wake kwenye Mitandao na vyombo mbalimbali vya habari.


Maswali yangu.

1. Nani aliwaruhusu Paka wale wakae karibu na Mahali ambapo Mh. Raisi alikuwa akitoa hotuba, Kiasi Cha kutufanya baadhi ya Watu kupoteza Concentration kwenye kile ambacho Mh. Raisi alikuwa akikiwakilisha?

2. Nani aliwachokoza Paka wale hadi wakapiga kelele na sisi Wananchi kusikia?



ANGALIZO
Mh. Raisi anapokuwa anatoa hotuba basi tuhakikishe mazingira husika ni rafiki (conducive environment) ili Wananchi tupate kwa ufasaha Ujumbe tunaoletewa na siyo kutuharibia concentration zetu kwa vitu vya kizembe.


Nawasilisha.
 
Weka clip tusikie hao paka wakilia. Sisi wengine kwa bahati mbaya hatukufuatilia hiyo hotuba.
 
Back
Top Bottom