ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Bas tuishie Hapo mkuuNdio sio Jeshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bas tuishie Hapo mkuuNdio sio Jeshi
Katanga ana report kwa Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje. Kusiluka ndiye Bosi wa Makatibu Wakuu Wote. Pia ndiye Katibu wa Baraza la Mawaziri. Pia ndiye katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa (Mwenyekiti ni Rais).Utakuwa hujui uongozi wa hapo wewe. Sasa hivi itabidi Katanga awe anareport kwa Kusiluka.
Waliposikia New York wakaitikia Nyaau NyaaauNyau nyau tena 🐈
Kuna mdau amesema ni tausiWaliposikia New York wakaitikia Nyaau Nyaaau
Afadhali, nikajua tayari kibarua Cha mtu kinaota nyasi.Kuna mdau amesema ni tausi
Hapo umenena kweli. Ni semantics tu. Wote hao ni wateule wa Rais katika ngazi za juu kabisa. Balozi hata kama yuko chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ni mwakilishi wa Rais kwenye nchi husika kama vile Mkuu wa Mkoa ambavyo yuko chini ya Wizara ya Tamisemi lakini ni mteule na mwakilishi wa Rais kama alivyo waziri wake. Na Katibu Mkuu yo yote pia ni nafasi ya utendaji ya juu katika Wizara husika na ana nafasi katika uendeshaji wa Serikali kitaifa kupitia vikao husika. Ni semantics tu na mpangilio wa utawala. Nawatakia wote utendaji mwema.Nadhani immediate Boss wa Mabalozi ni Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje,ambaye Katibu Mkuu Kiongozi ndie Kiongozi wake...so...ingekua ni ligi ya soka,jamaa kashuka kutoka Daraja la kwanza hadi la tatu...but it is all semantics...yeye na Bashiru bado salary slips zao zinaweza zikawa sawa...
Frustration ni kitu mbaya sana. Asingefanya mabadiliko hayo bei ya maharage ingeshuka nchini?Haya mabadiliko yatateremsha bei ya maharage kilo sh. 4500 hali mbaya huku mitaani.
Toka maktaba
04 November 2020
Dodoma, Tanzania
Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania
Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania, wakijadiliana jambo walipofika kukagua maandalizi ya eneo la atakakoapishwa kRais Mteule wa Tanzania Dk. John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Commisioner of Police Diwani Athuman, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
08 Julai 2022
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini jana Julai 8, 2022 wamemtembelea Mkuu wa Majeshi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi, Upanga jijini Dar es salaam.
![]()
View attachment 2468306
From top left Clockwise: H.E President John Pombe Joseph Magufuli, Commissioner of Police Diwani Athumani director General Tanzania Intelligence Security Services , Inspector General of Police Simon Sirro and General Venance Mabeyo chief of Defence Forces
What is behind it? Maana hapa katikati kuna mambo mengi yalikuwa yanaenda ndivyo sivyo. Mpaka tukaanza kuhisi Mlkuu anahujumiwa. Haiwezekani kila upande kuna matatizo.Ameliwa ili anyooshwe zaidi
Umeme shida, chakula hakikamatiki, ndege zinaharibika na kusumbua, mara hela ya umma inapigwa...what the hell are these guys doing?Tiss wanashindwa kunusa mfumuko wa bei, haiwezekani tukaishi maisha ya namna hii kila kitu bei juu hadi nyembe tutashindwa kunyoa hata zivu