Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Mmgh kivipi braza? Maana hapo Katanga kiutendaji anakuwa chini ya Kusiruka, sasa inakuwaje hapo?

Kutoka kuwa Mkuu wa Utumishi wa Umma nchini wakiwemo hao Mabalozi afu uwe Balozi then iwe heavy promotion?

Labda kwakuwa anaenda New York!

Mishahara ya Mabalozi huwa inalipwa kulingana na Uchumi wa nchi husika.....hapo naweza kukuelewa kwa mbali!
 
Sifa na dharau na wizi alioufanya akiwa mahakama zimemponza
Yamekuwa hayo tena?.

Mbona hata Samia mwenyewe anazichota tu pale Ikulu.

Sema kuna mafaili tu hayasogei pale, mama anatakuwa hayatoi kwa sababu pengine yanagusa watu wake na ndio maana Sasa jamaa anaondolewa ili wabaki wenyewe.
 
Mkuu... yaani umenena vyema kabisa... ahsante sana kwa ufafanuzi wako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji3]duhhh
 
Very sensitive positions, hao wausika majukumu yao zaidi ni beyond the scene despite being the backbone of the nation… naogopa sana mimi..
 
Sasa mkuu paka si wapo tu wakiamua kupiga kelele wanapiga tu huku kwetu wanatusumbua zaidi usiku wakianza tu tunatafuta mijiwe tunawapopoa tu
Mkuu wawe wanahakikisha wapo mbali na Mahali hotuba inapotolewa ili tusihamishwe kutoka kwenye Ujumbe Mahsusi.
 
Ulinzi unaoonekana na usioonekana.

Choose one
 
Ndio mara yk ya kwanza mkuu kusikiaa sauti ya pakaa??? ,mpk uje ushangaee akiliaa wkt rais anahutubiaa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kwa Eneo kama Ikulu sijawahi kusikia Mkuu Edon 666.

Niseme ukweli, hii ni mara ya kwanza.

Ingelikuwa nje ya Ikulu nisingeshangaa.
 
Eheh mambo tiss mada pendwa jf hapa,ngoja wengine tuwe wasomaji

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…