Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Baada ya miaka mitatu na miezi mitatu na siku 21 hatimae Diwani Athumani Msuya ameondolewa TISS kama Boss.

Tutakumbuka katika uongozi wako jinsi haki za raia zilivyokandamizwa huku ukitumia the so called "Kikosi Maalum" kuteka na kupoteza watu.

Haya uondoe na dawa zako za mitishamba pale ofisini kwako
 
Acha wakulima wapige hela,macho matatu mbona mnanunua Bei Kali na hamlii!?
Mfumuko wa bei ambao hauna uwiano na uzalishaji ni kumuumiza mwananchi .hata mkulima anaumia au unafikiri atakua anakula maharage yake aliyolima kila siku?
 
Mfumuko wa bei ambao hauna uwiano na uzalishaji ni kumuumiza mwananchi .hata mkulima anaumia au unafikiri atakua anakula maharage yake aliyolima kila siku?
Akishakupiga hiyo 3500/4000 kwa kilo,mambo yake murua,imagine ana gunia 25!!..maisha lami
 
Hizi ndio mada tuzipendazo sisi Watanzania. Kesho kwenye vijiwe vya kahawa mpaka kwenye vijiwe vya vitumbua, tutakuwa tunajadili kuhusu nini amefanya diwani mpaka akaondolewa Tiss.

Anyway nasikia anaefata kuliwa kichwa ni mwamba wa kusini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…