Rais Samia awabadili nafasi Mawaziri wa Wizara ya Utalii na Maliasili na Wizara ya Utamaduni na Michezo

Rais Samia awabadili nafasi Mawaziri wa Wizara ya Utalii na Maliasili na Wizara ya Utamaduni na Michezo

Pindi mle hakuna kitu
Chana chenga tu alikua anapigwa matobo watu wanasafirisha kule yeye hajui kitu maelezo hana, kidoogo Nchengerwa ana umakini ngoja tuone na yeye atapigwa matobo na waarabu au
 
Profesa Sedoyeka alikuwa mkufunzi na mkuu wa chuo pale Arusha (AIA) juzi juzi akateuliwa kuwa katibu mkuu maliasili na utalii na kuupiga chini ukufunzi...
Kuteuliwa kubaya sana, yaan bora ukatae tu hata ukionekana una dharau Ila acha iwe maana hizo nafasi ukiteuliwa muda wowote unapigwa chini
 
Adansonia digitata
Acacia tortilis
Songolibesia schelemisesianian

Professionalism bandika banduwa mpaka Mwana wa Adamu arudi
Nisome nje ya box....
 
pongezi kwa mawaziri wote kwa kuendelea kuaminiwa na mh. Rais.
Kinacho takiwa kwao ni kuchapa kazi kwa weledi na bidii
 
Profesa Sedoyeka alikuwa mkufunzi na mkuu wa chuo pale Arusha (AIA) juzi juzi akateuliwa kuwa katibu mkuu maliasili na utalii na kuupiga chini ukufunzi, leo ametumbuliwa! Sasa sijui atarejea kwenye ukufunzi au atakaa benchi kungojea vyeo vya dezo, uchawa na kujipendekeza kutoka kwa rais!

Ni fedheha sana.
Kosa lake ni nini? Aliupiga chini ukufunzi ama aliteuliwa?
 
Back
Top Bottom