Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Maneno mengiiiii hakuna picha wala video.Usijali hata kidogo ndugu yangu Demi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno mengiiiii hakuna picha wala video.Usijali hata kidogo ndugu yangu Demi.
Mzee Meko?Kifurushi.🤣🙏Ukimuona mtu mwenyewe, mfupi, miguu ina vigimbi na matege kisha ana kitambi cha maparachichi yaani yuko kama moja wa wale wahusika kwenye timu ya mabush star wa enzi za gazeti la Sani.
Kwa taarifa yako ephen alivyo na upendo kwangu.atanipa hiyo hela utakayomtumia.Tunapendana na ephen mpaka shetani anaona wivu.ephen_ popote ulipo agiza breakfast ya nguvu kisha nitumie namba ya Tigo lipa nilipie bili yako. Umenifurahisha sana hadi nabubujikwa na machozi ya furaha.
Anakuchora tu na kitambi chako cha maparachichi hicho.Kwa taarifa yako ephen alivyo na upendo kwangu.atanipa hiyo hela utakayomtumia.Tunapenda na ephen mpaka shetani anaona wivu.
Meseji kwa mpenzi wako imejaa neno CCM utadhani unamwandikia mwenezi wa chama....ephen wangu binti mwenye akili nyingi Nakupendaa Sanaa. Lakini pia mimi ni msema kweli Daima na UKWELI ni kuwa naipenda sana CCM na kila mmoja mtaani anafahamu namna navyoipenda kwa dhati ya Moyo wangu CCM .
Mimi na wewe tutaendelea kupendana sana ephen wangu kwa sababu kilichotuunganisha mimi na wewe ni upendo tu. Unatakiwa utembeage njiani una ringa kwa sababu umepata mtu mwenye upendo na wewe na mkweli kwelikweli. Ila ipo siku utaipenda CCM na kujuta kwanini ulichelewa kuchukua kadi ya CCM.utajilaumu mpaka utabubujikwa na machozi
Naombeni mtuache na ephen wangu lazizi wa ❤️ wangu.atavaa madela ya CCM mpaka abubujikwe na machozi kwamba kwanini hakujiunga CCM tangia awali. Maana atafurahi mwenyewe kuwa mwana CCMMeseji kwa mpenzi wako imejaa neno CCM utadhani unamwandikia mwenezi wa chama....