evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kwani huo utaratibu uliandaliwa na Raisi samia, au na maRaisi wakutoka Tanganyika? sasa huyu mama kutekeleza huo utaratibu ana kosa gani? Acheni Raisi afanye kazi, nyie Matanganyika mnajipendekeza kwenye muungano usio kua na manifaa kwenu.
Kwahiyo hao watz mil 58 wote hawana ajira wanasubiri ajira za mama?View attachment 2015004
Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira
Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira
Hongera mama, Charity begins at home.
Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?
Hebu tazama
1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni
2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI
3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar
4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar
5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ
Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
1. Zanzibar wanataka bahari kuu yao.huu utaratibu aliupanga samia
kikao kilifanyia tarehe 23/08/2021
Hoja 11 zinazoelezea kero za Muungano wa Tanzania – DW – 24.08.2021
Hoja 11 kuhusu kero za Muungano zimepatiwa ufumbuzi katika kikao cha pamoja kati ya mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar cha kutatua kero za Muungano.www.dw.com
Shida ni tafsiri'enterpretation" Rais ni WA Jamhuri ya muungano,pia Makamo na Waziri Mkuu .sasa je Kuna Waziri wa serikali ya Jamhuri ya Tanzania bara,dhahiri hapana.nataka kuamini kuwa makubaliano yalilenga watumishi wa wizara na Taasisi zote zilizo chini ya serikali ya Tanzania. Tanzania.Jamhuri ya muungano ya Tanzania,na siyo wizara za muungano ,na ndiyo maana utakuta Mzanzibari ameajiriwa bara kama_afisa utumishi,kilimo,mifugo,nurse,tabibu nk.huu sasa ni upuuzi
Memorandum ni its impossible kama CCM, bado iko mabadilika hayo hamna labda katiba mpyaTunahitaji referendum ya huu Muungano. Wazanzibar wametushika pabaya. We don't gain anything from them ila wao wana keep on kudai tu kudai tu every single day.
Yaani wanataka chao kiwe chao na chetu chao
alafu kuna lijizanzibar laja kulalama hapa, kwamba tunawanyonya. Kazi kupakuana tuu, hawajui lingineView attachment 2015004
Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira
Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira
Hongera mama, Charity begins at home.
Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?
Hebu tazama
1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni
2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI
3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar
4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar
5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ
Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
Kwa kweli kama mambo yako hivi bora tugawane mbao kiroho safi.Sasa kama hamutaki wazanzibar wapewe hizo nafasi bora tugawane mbao mutuachie zanzibar yetu mubaki na Tanganyika yenu sio museme mutaulinda mungano mpaka toni la mwisho la damu tena kwa mtutu wa bunduki
1. Zanzibar wanataka bahari kuu yao.
2. Mafuta wameshayatoa kwenye muungano
Ila sasa Ardhi ya Tanganyika Wazanzibar wanataka wamiliki kama vile Watanganyika wanavyomiliki, ila Mtanganyika kumiliki ardhi kule anachukuliwa kama mgeni
Ajira zisizo za nambo ya muungano huku Tanganyika Wazanzibar nao wanaapply na kupata kama Mtanganyika mwingine yeyote.
Sasa huo muungano una faida gani kwa Tanganyika?
Bara imenufaika na nini zaidi ya Ujinga wa CCM. kulazimisha watawala huko Zenji tu?mnalalama nn akati wabara mmewakung'uta wazanzibari miaka karibu 56
Ccm haijawahi azisha muungano hebu wataje hao wajinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bara imenufaika na nini zaidi ya Ujinga wa CCM. kulazimisha watawala huko Zenji tu?
Hawa yanaandikwa leo kwa sababu Mama ni mwenyeji wa kizimkazi Unguja, angekuwa ni wa Mtwara au Lindi yasingeandikwa.View attachment 2015004
Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira
Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira
Hongera mama, Charity begins at home.
Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?
Hebu tazama
1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni
2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI
3. Mzanzibar anaweza kushika nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar
4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar
5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ
Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli?
huu muungano ni lose-lose situation kwa Watanganyika.Haya ndiyo yatavunja muungano maana akija mwingine akasema ajira ziwe 5% wazanzibari hawatakubali.
Hata huu mgao baseless unaweza kuwaamsha watanganyika.