hiyo ndio akili ya mama yenu yaani anataka hata akiwaingizia mitu huko mji mpya msilalamike kaeni kimya tu makondoo nyie, watu wanaoga maji ya bahari rais anataka wasilalamike duh naanza kumuelewa vyema hangaya kabla sijaanza kufukua mengine mengi, kwakweli nitabeba boksi mpaka kieleweke kama thinking ya kiongozi wetu huko nyumbani iko hivi, wajinga ndio waliwao