Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aachane na hawa jamaa wasiolinda maadiliRais Samia amewapigia simu Wasanii wa Dance, Waigizaji na wengine kuzungumza nao live kupitia Mwigizaji @SteveNyerere2 usiku Dar es salaam kwenye kusanyiko la ‘Ongea na Mama’ na kuwaahidi kujumuika nao siku moja kwa ajili ya chakula cha jioni.